Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Kwanini mnatuletea mtu aliye fukuzwa UN tena kwa kutajwa alikuwa na poor performance.Huu udokta wa TZ niwamakaratasi tu.Huyo mama kiukweli alitutia aibu kweli UN.Hana lolote huyo mdadaRais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
inawezekana lakini, dakika hizi ni za penalty 120 inakaribia kwisha unaingiza wapigajiMulugo mguu pande,mguu sawa, nyuma geuka!!!! Mbeleeeeee tembea!!!
Malizia guesswork yako, kwa hiyo Membe anapelekwa wizara ipi? Ya serikali za mitaa?
hukujua mkuu?. Mheshimiwa kwenye dini hafanyi kosa,nenda kw a wakuu wa wilaya,mkoa wakurugenzi,nenda hata udom uta shangaa kuona salamaleku zilivyo jaa
Huwezi kutoa hoja yako mpaka ukashifu dini nyingine?Kuna sababu gani ya kuita MAKAFIR wakati unajua dini inaitwa WAKRISTU?Haya hongera basi wewe KAFIR mdogo!sua
mzumbe
udsm
ardhi
ifm
ustawi
cbe
muhimbili univ
nk...
Je vile vyuo ni vya kanisa ??
Ina maana taasisi ikiongozwa na muislam ni kosa ??
Mbona nyinyi makafiri wakristo mnaongoza hakuna kwere ?? Makafiri jirekebishen sasa hii nchi wote tuna haki .
Makafiri wakubwa nyie
Anaitwa Asha-rose. Naona udini unakusumbua mpaka umeondoa rose mwishoni.
When she made history last year, becoming Tanzania's first woman foreign minister, some people started referring to her as the "Condoleezza Rice of Tanzania".
But Mrs Migiro, a seasoned human rights champion, preferred the title "Dr Asha-Rose of Tanzania".
She is a Muslim, has a law doctorate from Germany, and is described as hardworking, modest and a down-to earth politician.
Source: BBC NEWS | Africa | Profile: 'Tanzania's Condi'
Huwezi kutoa hoja yako mpaka ukashifu dini nyingine?Kuna sababu gani ya kuita MAKAFIR wakati unajua dini inaitwa WAKRISTU?Haya hongera basi wewe KAFIR mdogo!
sua
mzumbe
udsm
ardhi
ifm
ustawi
cbe
muhimbili univ
nk...
Je vile vyuo ni vya kanisa ??
Ina maana taasisi ikiongozwa na muislam ni kosa ??
Mbona nyinyi makafiri wakristo mnaongoza hakuna kwere ?? Makafiri jirekebishen sasa hii nchi wote tuna haki .
Makafiri wakubwa nyie
Rose mna hati miliki nalo? si Waridi hilo? Mbona Waislaam wengi sana wanaitwa Warda = Rose.
Hivi bila kuleta viroja hamuoni uroda?
Acheni kuongea vitu havipo,huyu Mama kafanya vizuri UN kamaliza mkata karudi home,nongwa yanini?
Ficha upumbavu wako, mbona Ban Kimoon bado yupo?
Asha ame-under perfom UN na wala si vinginevyo, ni sawa na Lowasa kuitwa Waziri mkuu mstaafu na waliopigwa chini ubunge kuitwa wabunge wastaafu.
Akili mali,kusoma huwezi hata picha huelewi!! Nafasi ile haufululizi huwa wanapokezana boya wee!!ha ha ha ha ha
Rose mna hati miliki nalo? si Waridi hilo? Mbona Waislaam wengi sana wanaitwa Warda = Rose.
Hivi bila kuleta viroja hamuoni uroda?