magilapeak
Senior Member
- Aug 6, 2013
- 132
- 27
Nilishahisi tu kuna kitu katika haya mambo,2015 maandalizi yanapamba moto,ndo maana anauzwa kwa wananchi
Hana tofauti na Zakia Meghji
Katiba mpya itoe haya madudu!Viti maalum au sijui vya upendeleo unaenda mtetea nani?
Huyu Dr Asha Mtengeti hajawahi jieleza na kuomba apigiwe kura ktk uchaguzi wowote ule duniani yy kuteuliwa tuuuuuuu!!
2015 MBUNGE iwe lzm apatikane kwa kupigiwa kura!
Uthibitisho huu hapa chini mkuu.
hii haiwahusu hao uliowataja bali inakuhusu na wewe, kama kweli aliunderperform UN basi huenda akiwekwa Magogoni basi itakuwa hivyo hivyo na matokeo yake tutayabeba sote kama taifa. Tz bado sana.Sasa Lowasa na Sita kazi kweni, 2015 ccm inapitisha sheria mpya kwa mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm sharti awe na jinsia ya kike, qualifications zingine zitafuata baada ya.
Jobless ni wewe unaeshinda lumumba kusubiri buku Saba kwa kila thread unayochangia. Kama ail perform better kwa nini baraza la usalama UN hawakumwongezea mkataba? Ni kwa sbb ni kilaza kazoo a kufanya mambo kimagambamagamba wakati we zako pale alikuwa wanakwenda kwa supersonic speed. Gamba we.una ushahidi au ndio ule wivu wa kipuuzi. Wewe jobless unampondea mtu kama migiro ni kichekesho.
Huyu mama WAZUNGU walimuona KILAZA. Sisi tunamuona anafaa!!!!! UN kulimshinda. Hiyo ndo tofauti ya sisi na wazungu. Heri angemuteua Shonza kuliko Migiro. HELA ZA UN NAONA KAMALIZA.
Centre for Political Intelligence
Why Dr. Migiro lost her UN job
Posted on July 11, 2012 by VoxMedia
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit in the diverse and complicated body were some of the reasons she was refused a contract renewal.
The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances, the source told Vox Media in a telephone conversation.
Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, comprising 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected.
She wasnt popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.
In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete.
It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.
When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzanias vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwetes vote.
But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate.
This entry was posted in Analysis. Bookmark the permalink.
nilijua tu kwamba ule utapeli wa kushikashika jembe kule kusini lazima utazaa matunda .
Hahaha....
Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.
Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election
Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....
Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister
Ficha upumbavu wako, mbona Ban Kimoon bado yupo?
Asha ame-under perfom UN na wala si vinginevyo, ni sawa na Lowasa kuitwa Waziri mkuu mstaafu na waliopigwa chini ubunge kuitwa wabunge wastaafu.
Jobless ni wewe unaeshinda lumumba kusubiri buku Saba kwa kila thread unayochangia. Kama ail perform better kwa nini baraza la usalama UN hawakumwongezea mkataba? Ni kwa sbb ni kilaza kazoo a kufanya mambo kimagambamagamba wakati we zako pale alikuwa wanakwenda kwa supersonic speed. Gamba we.
Huyu aliondoka New York aliwaambia marafikize kuwa anaenda kuwa Prime Minister.
Kweli, but Akiwa Rais, nahama nchiRaisi
mwanamke wa kwanza TZ?Tusubiri
tuone.Si unajua Tanzania lolote linawezekana.
Kweli, but Akiwa Rais, nahama nchi