Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Nashauri uzi huu upelekwe jukwaa la siasa ama International.
 
Gatuzi la Kajiado!😂😂😂
Tz neno gatuzi ni msamiati usiokuwa na watumiaji kabisa😂😂
Hongereni Wakenya kwa misamiati kuntu
 
Gatuzi la Kajiado!😂😂😂
Tz neno gatuzi ni msamiati usiokuwa na watumiaji kabisa😂😂
Hongereni Wakenya kwa misamiati kuntu
Hayo wanayoita magatuzi hata kulipa mishahara ya sungusungu ni mtihani
 
Unazeeka kwa rate isiyo ya kawaida mzee. Kwani Macron alipokuja Kenya masuala ya Uganda, Tz na bomba la mafuta yalikuwepo kwenye agenda? Alipokuja Kenya mikataba aliyotia saini ilihusu Kenya-Ufaransa, sio nyie vibwengo. Hilo dili ni la highway ambayo inatengenezwa nchini Kenya, sio Ufaransa. Tena serikali ya Ufaransa ina hisa 1% tu kwenye kampuni ya Total. Jinasue kutoka kwa akili zako hizi finyu kupindukia.
 
When people start celebrating the president of Malawi visiting their country you know things are bad.
 
Macron came to Kenya in 2019, decision for Uganda pipeline was made in 2017 n consolidated in September 2020. Uhuru made several attempts with his shuttle diplomacy to France trying to influence a change of heart as far as the pipeline route is concerned!
 
Gatuzi la Kajiado! Tz neno gatuzi ni msamiati usiokuwa na watumiaji kabisa Hongereni Wakenya kwa misamiati kuntu
Kwani kuna tatizo jombaa? Ugatuzi(devolution) uliletwa na katiba mpya ya Kenya 2010. Devolved unit ambayo ndio county(gatuzi) ni 47 nchini Kenya. Tutakosaje kutumia jina gatuzi wakati ugatuzi upo nchini Kenya?
 
Hayo wanayoita magatuzi hata kulipa mishahara ya sungusungu ni mtihani
Porojo tu kama kawa. Naona hata huelewi kwamba gatuzi zote 47 za Kenya huwa zinapokea mgao wa 35% ya hela zote za serikali kuu. Ambazo ndio huwa zinawawezesha kulipa mishahara ya wafanyakazi kwenye wizara na idara zao mbali mbali. Kando na majukumu mengine ya kuendesha shughuli kwenye sekta za afya, shule za chekechea na kujenga miundo mbinu kama barabara ambazo zipo 'classified' kwamba ni za counties. Kila gatuzi huwa linachagua pia miradi ya maendeleo ambayo wataipa kipaumbele.
 
tumefungua uzi kwenye hili jukwaa kwasababu jamiiforum ni product ya tanzania kwahiyo usitupangie matumizi sawa. Kama unahisi hili jukwaa la kwenu kisa limeandikwa Kenyan unfeli hi ni Mali ya jamiiforum na watanzania.
 
hafu tunamkaribisha jirani mwenye tija. Since hatuna haja ya karibisha mabeberu wanaowaza unyonyaji sawa. Kwanza mlishawai ona rais wetu anajikombakomba kwa hao mabeberu hatutaki unafiki hapa sawa. Tumemweshimu mweusi mwenzetu na mkukaribisha si sio Kama nyie weusi fake. Wanaziruhusu ndege za mbali wanawaacha jirani zao weusi wenzao "crazy neighbors". Hafu tumeweka huu uzi humu ili kuwafundisha jinsi ya kuishi na majirani sawa. siku nyingine usirudie Tena sawa
 
Mimi nafikiri na swala la kuvamiwa msumbiji na magaidi litazungumuzwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…