TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Na waongo na wazushi! Ushahidi upo.Hongeza sauti hawajasikia...
CDM wao ubishi tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waongo na wazushi! Ushahidi upo.Hongeza sauti hawajasikia...
CDM wao ubishi tuu
Gatuzi la Kajiado!😂😂😂Mmefungua uzi huu kwenye jukwaa hili ndio iweje sasa? Isiwe eti nia yenu ni kuwaringia wakenya na mgeni ambaye akipenda anaweza akatumia hata boti tu kuvuka ziwa Nyasa kwenye safari yake ya kuja Tz. [emoji1] Acheni ushamba majirani, sasa mzee wenu hapo ikulu akipata wageni kama wa rais Kenyatta, k.m. Netanyahu wa Israel, siku hiyo si mtapagawa wote muanze kuchapa zile push up zenu mbele ya wageni? [emoji1] Alafu rais Chakwera ameishi Kenya kwa muda mrefu, Buru Buru jijini Nairobi na mji wa Kitengela, gatuzi la Kajiado. Kwahivyo sio mgeni kwa wakenya na kwa nchi ya Kenya. Maunjanja yote ya kisiasa ameyapata akiwa nchini Kenya, yeye na mwenzake rais Joyce Banda, aliyemtangulia hapo zamani kidogo. Malawi president Chakwera and his Kenyan connection
Unazeeka kwa rate isiyo ya kawaida mzee. Kwani Macron alipokuja Kenya masuala ya Uganda, Tz na bomba la mafuta yalikuwepo kwenye agenda? Alipokuja Kenya mikataba aliyotia saini ilihusu Kenya-Ufaransa, sio nyie vibwengo. Hilo dili ni la highway ambayo inatengenezwa nchini Kenya, sio Ufaransa. Tena serikali ya Ufaransa ina hisa 1% tu kwenye kampuni ya Total. Jinasue kutoka kwa akili zako hizi finyu kupindukia.Unatembelewa na Macron halafu pipeline ya Uganda inaenda Tanzania nyie ni mafalamanga wa mwisho aisee! baada ya Mchina kucheza abracadabra SGR Mombasa-naivasha, Macron hakutaka kuachwa nyuma, akaja Nairobi kutafuta falamanga wa kufanya PPP na French company akarudi na deal la highway la $1.7 bln Paris.
Macron came to Kenya in 2019, decision for Uganda pipeline was made in 2017 n consolidated in September 2020. Uhuru made several attempts with his shuttle diplomacy to France trying to influence a change of heart as far as the pipeline route is concerned!Unazeeka kwa rate isiyo ya kawaida mzee. Kwani Macron alipokuja Kenya masuala ya Uganda, Tz na bomba la mafuta yalikuwepo kwenye agenda? Alipokuja Kenya mikataba aliyotia saini ilihusu Kenya-Ufaransa, sio nyie vibwengo. Hilo dili ni la highway ambayo inatengenezwa nchini Kenya, sio Ufaransa. Tena serikali ya Ufaransa ina hisa 1% tu kwenye kampuni ya Total. Jinasue kutoka kwa akili zako hizi finyu kupindukia.
Kwani kuna tatizo jombaa? Ugatuzi(devolution) uliletwa na katiba mpya ya Kenya 2010. Devolved unit ambayo ndio county(gatuzi) ni 47 nchini Kenya. Tutakosaje kutumia jina gatuzi wakati ugatuzi upo nchini Kenya?Gatuzi la Kajiado! Tz neno gatuzi ni msamiati usiokuwa na watumiaji kabisa Hongereni Wakenya kwa misamiati kuntu
Porojo tu kama kawa. Naona hata huelewi kwamba gatuzi zote 47 za Kenya huwa zinapokea mgao wa 35% ya hela zote za serikali kuu. Ambazo ndio huwa zinawawezesha kulipa mishahara ya wafanyakazi kwenye wizara na idara zao mbali mbali. Kando na majukumu mengine ya kuendesha shughuli kwenye sekta za afya, shule za chekechea na kujenga miundo mbinu kama barabara ambazo zipo 'classified' kwamba ni za counties. Kila gatuzi huwa linachagua pia miradi ya maendeleo ambayo wataipa kipaumbele.Hayo wanayoita magatuzi hata kulipa mishahara ya sungusungu ni mtihani
Muhimu umeelewa..Hivi shule mnaendaga kusoma ujinga? Siyo hongea ni ongea
Hahahaha Baba ako wa kambo mimi..Eti hawa ndio wenye ujuvi wa lugha.....hahahaha...rekebisha hapo pekundu...kalb hayawan.
tumefungua uzi kwenye hili jukwaa kwasababu jamiiforum ni product ya tanzania kwahiyo usitupangie matumizi sawa. Kama unahisi hili jukwaa la kwenu kisa limeandikwa Kenyan unfeli hi ni Mali ya jamiiforum na watanzania.Mmefungua uzi huu kwenye jukwaa hili ndio iweje sasa? Isiwe eti nia yenu ni kuwaringia wakenya na mgeni ambaye akipenda anaweza akatumia hata boti tu kuvuka ziwa Nyasa kwenye safari yake ya kuja Tz. [emoji1] Acheni ushamba majirani, sasa mzee wenu hapo ikulu akipata wageni kama wa rais Kenyatta, k.m. Netanyahu wa Israel, siku hiyo si mtapagawa wote muanze kuchapa zile push up zenu mbele ya wageni? [emoji1] Alafu rais Chakwera ameishi Kenya kwa muda mrefu, Buru Buru jijini Nairobi na mji wa Kitengela, gatuzi la Kajiado. Kwahivyo sio mgeni kwa wakenya na kwa nchi ya Kenya. Maunjanja yote ya kisiasa ameyapata akiwa nchini Kenya, yeye na mwenzake rais Joyce Banda, aliyemtangulia hapo zamani kidogo. Malawi president Chakwera and his Kenyan connection
Bora ccm wanakimbilia matus nyie hamkawii kujinyongaUmesha kimbilia kwenye matusi, CCM mna matatizo gani lakini?
hafu tunamkaribisha jirani mwenye tija. Since hatuna haja ya karibisha mabeberu wanaowaza unyonyaji sawa. Kwanza mlishawai ona rais wetu anajikombakomba kwa hao mabeberu hatutaki unafiki hapa sawa. Tumemweshimu mweusi mwenzetu na mkukaribisha si sio Kama nyie weusi fake. Wanaziruhusu ndege za mbali wanawaacha jirani zao weusi wenzao "crazy neighbors". Hafu tumeweka huu uzi humu ili kuwafundisha jinsi ya kuishi na majirani sawa. siku nyingine usirudie Tena sawaMmefungua uzi huu kwenye jukwaa hili ndio iweje sasa? Isiwe eti nia yenu ni kuwaringia wakenya na mgeni ambaye akipenda anaweza akatumia hata boti tu kuvuka ziwa Nyasa kwenye safari yake ya kuja Tz. [emoji1] Acheni ushamba majirani, sasa mzee wenu hapo ikulu akipata wageni kama wa rais Kenyatta, k.m. Netanyahu wa Israel, siku hiyo si mtapagawa wote muanze kuchapa zile push up zenu mbele ya wageni? [emoji1] Alafu rais Chakwera ameishi Kenya kwa muda mrefu, Buru Buru jijini Nairobi na mji wa Kitengela, gatuzi la Kajiado. Kwahivyo sio mgeni kwa wakenya na kwa nchi ya Kenya. Maunjanja yote ya kisiasa ameyapata akiwa nchini Kenya, yeye na mwenzake rais Joyce Banda, aliyemtangulia hapo zamani kidogo. Malawi president Chakwera and his Kenyan connection
Ni jambo jema!
Possibly asipewe promo Kubwa sana, Maana ni Mpinzani wa chama cha siasa malawi Aliyeshinda; Nimewaza tuu..Natabiri huo mkutano utafanyika katika mikoa iliyopakana na Malawi ili iwe kampeni kwenye mikoa hiyo!