digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kwanini ufuatilie kitu kisichokuwa na màana,?Teuzi awamu hii zimeshapoteza maana kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ufuatilie kitu kisichokuwa na màana,?Teuzi awamu hii zimeshapoteza maana kabisa!!
Fhika ni Kachero mbobezi.... Inawezekana uko Sawa kabisa.Wengi ya watu wanaoitwa ''wa ofisi ya rais'' ni TISS. Pengine alikuja ambiwa kuwa huyo jamaa ni kiungo muhimu kwenye kuchakuchua kura.
Wananchi wepi hao unaowasemea kuwa wamechoka na tumbua tumbua ya jembe magufuli? Jisemee mwenyewe,mbona Mimi sijachoka?Kabla ya juzi mkuu wa mkoa wa Njombe alikuwa Ole Sendeka, juzi akawa Jumanne Fikha, leo Mwita Rubya!
Ushauri wangu kwa mheshimiwa Rais, kwa sasa aachane na haya mambo ya kutumbua na kuteuateua, afanye mambo mengine. Hayana faida yoyote kwa sisi wananchi, tumeshayachoka.
Lakini tuwe wakweli tu,kwani hili sio mala ya kwanza kutokea awamu hii!! Yaani hadi una toa press releases ya jina la mteuliwa ina maana kila sehemu umeshajiridhisha, ni ajabu ndani ya siku mbili tu ule uteuzi una utengua tena!!! Kuna tatizo kwenye mteuajiMbona hata hujuwi kinacho endelea una anza laumu sibora ukae kimya. Nani kamtumbuwa? Au umeelewa nn kwenye mada some time waza postive
Kafanya kazi siku mbili tu
Hivi mkuu wa mkoa akiumwa, akiwa likizo, akisafiri mbali, mkoa unaongozwa na nani?
Kwa muundo wa kiserikali, kila kitu kinaweza kuendelea hata kama mhusika rasmi akiwa hayupo. Hakuna haraka ya kihivyo sana.
Ilikuwa ni jambo rahisi tu, serikali kutoa mwongozo katika kipindi hiki cha mpito kuelekea uchaguzi nini kifanyike (mfano mtu akiamua kwenda kugombea, basi aliye nyuma yake anakaimu ofisi, then mengine yatafuata upepo ukipita).
Maana kwa hali ulivyo sasa Rais anahangaika kujaza nafasi zinazoachwa wazi haraka haraka mnoo bila weredi mpana, maana anaweza kuniteua kuchukua nafasi ya fulani ambaye amekwenda kugombea ubunge sehemu fulani kumbe mimi pia niko njiani keshokutwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya CUF sehemu fulani.
Naomba nielimishwe. Ninavyofahamu mimi vyeo vya RC na DC kama ilivyo uwaziri ni vyeo vya kisiasa na sio kiutumishi. Hawa, ukiwa sahihi, sio watumishi wa umma. Sasa mtumishi wa umma ( meneja wa Tanroads) anapoteuliwa kushika nafasi ya kisiasa ( Mkuu wa Mkoa) ina maana kuwa anachukua likizo kwenye utumishi wake wa umma? Kwa maneno mengine, atakuwa bado " permanent and pensionable"?Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
View attachment 1510811
Yeah, hao nao pia wapoHapana kuna hizo unazotaja halafu kuna ofisi ya rais kama ofisi ya rais yaan!!
Bado tu hujaelewa?
Jumanne Fhika juzi tarehe 17/7 aliteuliwa na rais kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, leo tarehe 19/7 katenguliwa...
Nini sababu,
1. Amekataa?
2. Hafai?
3. Ukosefu wa umakini wakati wa kuteua? au,
4. Mteuzi kadanganywa.
Kafanya kazi siku mbili tu
Aache kukurupuka na yeye.Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
View attachment 1510811
Mimi cheo changu cha baba wa familia ya watoto 13 wake 2 ni kikubwa kuliko cha Urais na nilishaapishwa mara 2 nisubiri tengua teua za bongo njoo tulime matikiti huku muraaa heka moja unapata milioni 20 ukilima heka 5 zidisha hapo na ni kwa miezi 3 tuapewae ndie aongezwae! subiri zamu yako!
Ila ni Lake Zoner!Huyo Marwa vetting imekurupuka sana wampekue vizuri ni mchafu sana corruptly & mtumiaji ovyo wa madaraka
wapiMimi cheo changu cha baba wa familia ya watoto 13 wake 2 ni kikubwa kuliko cha Urais na nilishaapishwa mara 2 nisubiri tengua teua za bongo njoo tulime matikiti huku muraaa heka moja unapata milioni 20 ukilima heka 5 zidisha hapo na ni kwa miezi 3 tu
Subiri uteuzi mie risk taker nilishazoea bhana kupiga kilimo huku Katotowapi
katoto ni wapi mi mkulima piaSubiri uteuzi mie risk taker nilishazoea bhana kupiga kilimo huku Katoto
Mkoa hauwezi kukaa bila kiongozi!
Pembezoni mwa mto Malagarasi mkuu mpakani mwa Wilaya ya Kasulu na Uvinzakatoto ni wapi mi mkulima pia
Kumbe ofisi ya rais kuna wafanyakaz kibao