Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Sio chama cha walimu Tanzania tena bali ni chama cha walimu wa ccm Tanzania

Jr[emoji769]
 
Mniwie radhi walimu wangu. Hii kada naidharau sana maishani mwanga, sijui tatizo liko wapi!

Tatizo lako lipo kwenye utoto tu! Ukikua utaacha. Mtu mzima mwenye akili timamu, hawezi kumdharau mtu mwingine na pia hawezi kuidharau kazi ya mtu mwingine.
 
walimu nao kama kondoo tu wakuchinjwa CWT imeshageuzwa kuwa tawi la ccm,mwaka huu walimu wote wamevalishwa jezi ya ccm njano kwa ajili ya kampeni
 
Uko sahihi kwenye ukweli tukubaliane hakuna rais au kiongozi yeyote duniani aliwahi kutimizia wananchi wote chochote wanachohitaji ila siyo kupinga kila kitu mradi tu umesikia jina Magufuli. Kwani Mbowe anasaidia Nini hao wanaomuabudu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hata kama wameshusha kwa kamshahara hako hako utachelewa sana
 
Je ? Kama kajifunza mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wale. Kwani uoijifunza mwenye ndo uwakashfu wanaofindisha? Hiyo keyboard inayomfanya ajione mjanja imetengenezwa na watu waliofungua na waalimu. Hata ukufunza mwenyewe Kuna sehemu ambayo huwezi kukwepa waalimu.
Acha kutetea upuuzi. Mkikosa hoja mnaleta vioja eti Kama kajifundisha mwenyewe jinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naongelea salary kama wakati wa JK ilikuwa inaongezeka think 5 years no increment watu wanapata watoto wanakuwa na familia salary ile ile na bado kuna makato kibao sasa unakopa kwa salary ya 5 years back that's nonsense ingekuwa kuna nyongeza hata loan ukichukua maumivu yanakuwa si makubwa
 
sasa hata kama wameshusha kwa kamshahara hako hako utachelewa sana

Kuna watu tulishapanda madaraja kitambo tangu zaidi ya mara mbili enzi za JK! Hivyo hatutishiki kabisa. Na mwaka huu ameahidi muda huu atapandisha madaraja.

Hilo ndilo jambo tunalotaka. Siyo mambo ya kununua ndege kila siku.
 
Akiingia Madarakani tutajua unamuongeleaje mtu ambaye hana madaraka?kweli we bichwa nazi mchuzi
 
Achana nae huyo ktk kada ambayo kwa kujitambua ni somo muhimu bc walimu wanatakiwa kupewa somo hilo
 

Kama mtu hajawahi kupanda daraja tangu enzi za JK, hapo kuna tatizo. Na ameahidi kupandisha hayo madaraja mwaka huu. Wacha tuone kama atatekeleza kwa wakati.
 
Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Ila ndio waliokufundisha acha lugha chAfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…