Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Mimi pia sipendi matusi.
Naomba unitajie hata matusi matatu anayotukana Lissu ili na mimi nisambaze kwenye vikundi vya What'sApp wajue tabia za Lissu.
 
Hii hasira ndo inawatoa kwenye reli wapinzani. Tulia jenga hoja bila jazba lada utaeleweka
 
HICHO NDIO KIPIMO TOSHA KWAMBA MAGUFULI ANAKUBALIKA ZAIDI YA LISSU NDIO MAANA WATU WAMEKACHA LISSU WAKAINGIA MAGUFULI NA BADO HII KITU HAIJAANZA KAZI [emoji116]
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Anatekeleza mipango gani wakati yuko kwenye kampeni akiomba kura? Tena anahidi mamilioni ya fedha kwa wapiga kura wakati huu wa Kampeni kama siyo rushwa ni nini?
 
Acheni exaggeration.... Mbona Darfur na DRC mlikufa kma kuku? Mnachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha ila tungekua na radical opposition kma Al Qassem Brigade nadhani tungeheahimiana.
Mlimshindwa nyie mnatakiwa mkiri ni kwamba mtu anaepanga mtu afe ni Mungu na siyo mwadamu wa kawaida tu hata ukipanga Mungu akisema no ni big no mkuu halaf risasi Lina umbali wa kuua,na kujeruhi na pia itategemea na siraha uliyotumia na kingne obstacle iliyokutana nayo Hadi kumfikia mlengwa wako
 
Wewe unaleta taarifa za uongo tu; Ratiba kamili ni hii hapa. In fact kama kweli wameingiliana basi Lissu ndiye hakutakiwa kuwapo pale kwani alitakiwa awe yuko Ikola

Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Tunaomba hayo matusi ili tuaimi
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hebu rudia kusoma ulichokiandika kwa muktadha wa hoja yenyewe!
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
We mjinga kweli ratiba inasemaja ya leo kwa Kipara?
 
Leo ni tarehe 19 September Kichuguu ???
Ratiba ilikwisha kuwa updated na tume kutokana na Magufuli kuwa na ugeni wa kiserikali uliomzuia kuendelea na kampeini; wagombea wote walitaarifiwa updates hizo. Kwa vile ratiba ya Lissu ina mapengo mengi, yaani haina specifity; wao wanasema atakuwa mkoa upi lakini hawaelezi atafanyia mkutano sehemu ipi, inakuwa ni vigumu kwa tume kutrace whereabouts zake.

Ratiba inakuwa updated mara kwa mara kutokana na hali halisi; kwa mfano mgombea akiumwa au akipata accident barabarani, ratiba yake itakuwa updated na tume, na wagombea wote watataarifiwa kuhusu mabadiliko hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…