Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Mimi pia sipendi matusi.
Naomba unitajie hata matusi matatu anayotukana Lissu ili na mimi nisambaze kwenye vikundi vya What'sApp wajue tabia za Lissu.
 
Wewe dogo una upumbavu. Yuko eneo hilo kufanya kampeni kwa kutumia rasilimali za CCM na wana CCM. Kuna mwananchi anaweza kusimamisha msafara wa Rais? Hivi mnapokuwa mnaandika, dhamira zenu huwa ni ongofu na safi?? Au mnasema kwa sababu kuna sababu kuna wanaoweza kudanganywa wengi??

Unamteteaje mtu anayesimama na kuomba kura kuwa anafanya kazi za Rais hapo hapo akiomba kura kwake, mbunge na diwani?? Eti anafanya kazi za Rais. CCM tuna bahati moja, kuwa uwajibikaji ni ziro. Gharama za Rais kufanya kampeni zilipaswa kulipiwa na CCM, sio kutoka kwenye mfuko wa taifa ambazo ni kodi za wananchi. Wakati huo huo vyama vya siasa vingine vinatumia rasilimali zao.
Hii hasira ndo inawatoa kwenye reli wapinzani. Tulia jenga hoja bila jazba lada utaeleweka
 
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
HICHO NDIO KIPIMO TOSHA KWAMBA MAGUFULI ANAKUBALIKA ZAIDI YA LISSU NDIO MAANA WATU WAMEKACHA LISSU WAKAINGIA MAGUFULI NA BADO HII KITU HAIJAANZA KAZI [emoji116]
FB_IMG_1600607646124.jpg
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Anatekeleza mipango gani wakati yuko kwenye kampeni akiomba kura? Tena anahidi mamilioni ya fedha kwa wapiga kura wakati huu wa Kampeni kama siyo rushwa ni nini?
 
Acheni exaggeration.... Mbona Darfur na DRC mlikufa kma kuku? Mnachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha ila tungekua na radical opposition kma Al Qassem Brigade nadhani tungeheahimiana.
wewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.
Mlimshindwa nyie mnatakiwa mkiri ni kwamba mtu anaepanga mtu afe ni Mungu na siyo mwadamu wa kawaida tu hata ukipanga Mungu akisema no ni big no mkuu halaf risasi Lina umbali wa kuua,na kujeruhi na pia itategemea na siraha uliyotumia na kingne obstacle iliyokutana nayo Hadi kumfikia mlengwa wako
 
Leo Magufuli ametuthibitishia kuwa vurugu wanazofanyiwa wapinzani zinafanywa law baraka zake na maelekezo anafanya yeye.

Pia Rais Magufuli leo amethibitisha kwamba uchaguzi huu si lolote kwake hata kama atashindwa atang'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu.

Leo pia imethibitisha kuwa Magufuli anataka kubadili katiba ya nchi abaki kuwa rais wa Miller.

Ni wakati sasa wapinzani waache kunadi ilani waanze kunadi mapinduzi ya kumuondoa madarakani kabla hata ya tarehe 28 October.
Wewe unaleta taarifa za uongo tu; Ratiba kamili ni hii hapa. In fact kama kweli wameingiliana basi Lissu ndiye hakutakiwa kuwapo pale kwani alitakiwa awe yuko Ikola

1600632500295.png
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Tunaomba hayo matusi ili tuaimi
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hebu rudia kusoma ulichokiandika kwa muktadha wa hoja yenyewe!
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
We mjinga kweli ratiba inasemaja ya leo kwa Kipara?
 
Leo ni tarehe 19 September Kichuguu ???
Ratiba ilikwisha kuwa updated na tume kutokana na Magufuli kuwa na ugeni wa kiserikali uliomzuia kuendelea na kampeini; wagombea wote walitaarifiwa updates hizo. Kwa vile ratiba ya Lissu ina mapengo mengi, yaani haina specifity; wao wanasema atakuwa mkoa upi lakini hawaelezi atafanyia mkutano sehemu ipi, inakuwa ni vigumu kwa tume kutrace whereabouts zake.

Ratiba inakuwa updated mara kwa mara kutokana na hali halisi; kwa mfano mgombea akiumwa au akipata accident barabarani, ratiba yake itakuwa updated na tume, na wagombea wote watataarifiwa kuhusu mabadiliko hayo.
 
Back
Top Bottom