Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kwani hana washauri Wake? Wa kumshauri.
"MIMI HUWA SISHAURIWI! UKINISHAURI NDIYO UNANIPOTEZA KABISA...." John Joseph Pombe Magufulication.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hana washauri Wake? Wa kumshauri.
Mimi pia sipendi matusi.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hii hasira ndo inawatoa kwenye reli wapinzani. Tulia jenga hoja bila jazba lada utaelewekaWewe dogo una upumbavu. Yuko eneo hilo kufanya kampeni kwa kutumia rasilimali za CCM na wana CCM. Kuna mwananchi anaweza kusimamisha msafara wa Rais? Hivi mnapokuwa mnaandika, dhamira zenu huwa ni ongofu na safi?? Au mnasema kwa sababu kuna sababu kuna wanaoweza kudanganywa wengi??
Unamteteaje mtu anayesimama na kuomba kura kuwa anafanya kazi za Rais hapo hapo akiomba kura kwake, mbunge na diwani?? Eti anafanya kazi za Rais. CCM tuna bahati moja, kuwa uwajibikaji ni ziro. Gharama za Rais kufanya kampeni zilipaswa kulipiwa na CCM, sio kutoka kwenye mfuko wa taifa ambazo ni kodi za wananchi. Wakati huo huo vyama vya siasa vingine vinatumia rasilimali zao.
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.
#ChangeTanzania
HICHO NDIO KIPIMO TOSHA KWAMBA MAGUFULI ANAKUBALIKA ZAIDI YA LISSU NDIO MAANA WATU WAMEKACHA LISSU WAKAINGIA MAGUFULI NA BADO HII KITU HAIJAANZA KAZI [emoji116]Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Unachowaza ni ujinga!HICHO NDIO KIPIMO TOSHA KWAMBA MAGUFULI ANAKUBALIKA ZAIDI YA LISSU NDIO MAANA WATU WAMEKACHA LISSU WAKAINGIA MAGUFULI NA BADO HII KITU HAIJAANZA KAZI [emoji116]View attachment 1575522
Anatekeleza mipango gani wakati yuko kwenye kampeni akiomba kura? Tena anahidi mamilioni ya fedha kwa wapiga kura wakati huu wa Kampeni kama siyo rushwa ni nini?Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Wapinzani safari hii mtakunya mavi mpaka mtayala
Acheni exaggeration.... Mbona Darfur na DRC mlikufa kma kuku? Mnachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha ila tungekua na radical opposition kma Al Qassem Brigade nadhani tungeheahimiana.
Mlimshindwa nyie mnatakiwa mkiri ni kwamba mtu anaepanga mtu afe ni Mungu na siyo mwadamu wa kawaida tu hata ukipanga Mungu akisema no ni big no mkuu halaf risasi Lina umbali wa kuua,na kujeruhi na pia itategemea na siraha uliyotumia na kingne obstacle iliyokutana nayo Hadi kumfikia mlengwa wakowewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.
Akili za hivi ungebaki huko huko facebook!JF sio size yako!Wapinzani safari hii mtakunya mavi mpaka mtayala
Sindano imengia penyewe.Safari hii mtakunya mavi na kuyala
Wewe unaleta taarifa za uongo tu; Ratiba kamili ni hii hapa. In fact kama kweli wameingiliana basi Lissu ndiye hakutakiwa kuwapo pale kwani alitakiwa awe yuko IkolaLeo Magufuli ametuthibitishia kuwa vurugu wanazofanyiwa wapinzani zinafanywa law baraka zake na maelekezo anafanya yeye.
Pia Rais Magufuli leo amethibitisha kwamba uchaguzi huu si lolote kwake hata kama atashindwa atang'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu.
Leo pia imethibitisha kuwa Magufuli anataka kubadili katiba ya nchi abaki kuwa rais wa Miller.
Ni wakati sasa wapinzani waache kunadi ilani waanze kunadi mapinduzi ya kumuondoa madarakani kabla hata ya tarehe 28 October.
Tunaomba hayo matusi ili tuaimiKumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Namba moja kwako, mama'ko, baba'ko na familia yenu kiujumla!Alibaki Kigoma kama Rais, hukuona kilichotokea jana.Huyo siyo size yenu.huyo ndiyo namba moja wa nchi.
Anajivua nguo hadharani.Kwani hana washauri Wake? Wa kumshauri.
Hebu rudia kusoma ulichokiandika kwa muktadha wa hoja yenyewe!Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Leo ni tarehe 19 September Kichuguu ???Wewe unaleta taarifa za uongo tu; Ratiba kamili ni hii hapa
View attachment 1575582
We mjinga kweli ratiba inasemaja ya leo kwa Kipara?Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Ratiba ilikwisha kuwa updated na tume kutokana na Magufuli kuwa na ugeni wa kiserikali uliomzuia kuendelea na kampeini; wagombea wote walitaarifiwa updates hizo. Kwa vile ratiba ya Lissu ina mapengo mengi, yaani haina specifity; wao wanasema atakuwa mkoa upi lakini hawaelezi atafanyia mkutano sehemu ipi, inakuwa ni vigumu kwa tume kutrace whereabouts zake.Leo ni tarehe 19 September Kichuguu ???