Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Hapa ndipo mnapoboa kulia lia.....!!!
jambo la msingi ni kuendelea kupambana....
kuhakikisha ya kwamba Tundu Lissu is ascending to power.....
 
wazungu unawategemea wampe Arvs Baba ako tengeneza zako sasa za kutumia bangi
Ndio mnavyoaminishwa na Lissu kwamba mkikumbatia wazungu , mkaozeshwa, mtaishi kwa raha sana au sio?
 
Kwani mnamuogopa?
Si mnasema mnapendwa?
Kama watu wasingekuwa hapo barabarani asingesimama, ukiona hivyo basi ujue mnaweweseka
 
Unnecessary provocation.
 
Kati ya mambo ambayo yamekikwamisha Chadema ni pamoja na kuwa na propaganda mfu kama hizi. Chama chetu kina watu wahuni wanachokichafua. Wewe unao uthibitisho wa hii habari ya kipuuzi?
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Huo ni uzwazwa, ccm wote mmeambukizwa kuvunja taratibu na sheria.

Kwani majukumu yake lazima afanye leo, kesho siyo siku?
NAONA KAMPENI ZA MWAKA HUU NI NGUMU KULIKO ULE MWAKA WA PUSHAPU
 
Tume warudisheni wagombewote kama hamuondoi magu hatayeye mbona anakosea sana mnataka itokee nini nyiewatu nchiyetu tunaipenda
 
Inaonekana baaada ya Magufuli kusimama watu wote wakamkimbia Lissu akabaki mweupe .
Si mlitaka kupima kukubalika ?,sasa mbona mnalilia
 
Kati ya mambo ambayo yamekikwamisha Chadema ni pamoja na kuwa na propaganda mfu kama hizi. Chama chetu kina watu wahuni wanachokichafua. Wewe unao uthibitisho wa hii habari ya kipuuzi?
Sasa unadhani mimi ni mjinga kama wewe?
 
Kati ya mambo ambayo yamekikwamisha Chadema ni pamoja na kuwa na propaganda mfu kama hizi. Chama chetu kina watu wahuni wanachokichafua. Wewe unao uthibitisho wa hii habari ya kipuuzi?
Haya nimekuwekea uthibitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…