Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Kwa hiyo Rais hapumziki?
Daa watu wanapenda kukuza jambo
Mbona kawaida tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
mkuu au mkongwe mwezangu umeyakanyaga utapondwa utatolewa akili majina mabaya yote utaitwa wewe maroboti au ukipenda kuwaita watoto wadogo kutoka facebook na instagram na wale vijana wa buku saba za data kutoka lumumba watakutukana najua utokubari utawarudishia mwishowe utakuwa ugomvi kuepusha yote hayo nakuomba wambie mods wafute hii threads .
 

leo kwa mara ya kwanza namtetea jiwe , sasa mkuu ulitaka avae nguo nyeusi huku akiwa analia kama anaombeleza ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ssfi sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…