Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Kwa hiyo akae analia ili Corona iondoke siyo?
 
Shukrani kwa kuweka rekodi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mzuri ni Yule ambae kwanza Sio mnafk kisa baby kamwambia I mic you na yeye ajibu ivyo ivyo pia kiongozi mzuri ni Yule wakati wa uzun anaficha machungu na kuwapa WATU matumain
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu hakiwezi kufanyika kwa namna moja dunia nzima.. Ilikuwa Australia hii ni Tanzania
 
Ameshajipambanua vyema yeye ni wa tofauti kimtazamo na wengine
 
Nadhani hapa watu mmeshindwa kumtofautisha Makonda na Magu, secondly baadhi ya wachangiaji mnashusha hadhi Taifa hili, yaani Kiongozi wetu anawezaje kufanya vacation juu ya mawe!?..ninachokiona hapo Rais alikua anafanya stretch ya mgongo wakati akifanya evening walk ili kuweka mwili wake Fit..ata WHO Wanashauri watu wafanye mazoezi Kwa Sana kuraise joto la mwili ili kuepuka gonjwa jipya.
 
Hizo ndizo zilizopitishwa tuzione?

Zina ujumbe gani...; angekuwa 'relaxed' kidogo namna hiyo huku akichapa kazi, huenda angeonekana katika mwonekano tofauti na aliojijengea katika miaka hii miinne.

Lakini watu wanapicha kidogo tofauti na hizo!
 
Majority wako vijijin / wanaishi kweny nyumba za matope na nyasi huku wakikosa huduma zote muhimu / na uwo ndo permanent capital ya ccm .
Mkuu, Hilo la umaskini sina hakika kama kwenu hakuna maskini, na sina hakika kama ukoo wenu mmesoma wote,

Lakini hata Hivyo Raisi ameliona Hilo,na ndiyo maana serikali yake haitaki kuingilia bei ya mazao ya hao unaowaita maskini

Na Kwa usemi wako huu, inaonyesha dhahiri kwamba wewe na chama chako ni wabaguzi wakubwa ninyi
 
Reactions: Ole
Kwani kuna janga gani hapa nchini!!?? Acha ulimbukeni wewe...nchi ina amani ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…