Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Duuh Wachina wangejua wangekutafuta mapema uwasaidie
 
Tupe basi time frame ya hizo picha mkuu Mayalla?
 
Huyu mzee bnaa yaani nimecheka kwa sauti kumbe aliye lala pale ni yeye, anazeeka vibaya sana. Alale tuu huko ila Mike Pompeo anaandaa Mashitaka yake atalala sana huko lupango na Bashite wake.
Asanteni watu wa America.

IN GOD WE TRUST

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walienda Lkn walileta tija yaani return ni kubwa nchi ikafaidika na wawekezaji,unaweza usiende ukawa unawekeza kwenye mifuko iliyotoboka hapo Kazi bure
 
Wanataka avae raba ya mil 2 wamuite fisadi. Si unajua walishakosa ajenda gani watatumia kumbana.
 
Hahaha...misho.ga ikishachubuliwa kwa kukosa vilainishi inafurahisha sana, pambana na hali "upinde wa mvua".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walienda Lkn walileta tija yaani return ni kubwa nchi ikafaidika na wawekezaji,unaweza usiende ukawa unawekeza kwenye mifuko iliyotoboka hapo Kazi bure
Tena kama mwawapenda sana ni bora mkae kimya, mkitumia kama strategy ya kampeni mtajuta, mkumbuke ni MSEMA KWELI, hata kale kaheshima alowatunzia kataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…