Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Sawa mkuu umeeleweka kuwa mzee wa watu kapiga zake raba na suruali ya suti amekaa anapunga upepo anatafakari mambo yake ya kazi na mengineyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hata katiba ya JMT wa Tanzania inamtambua kama raia namba moja. Kwa hiyo usidhanie ni mtu mdogo. Chochote atachofanya ni habari. Na ni utaratibu kwa nchi zote.
 

Rais akivinjari Ikulu - Chamwino​
 
Jitahidi kila siku utembee na akili zako, umwombe mama yoyo kama unakuwa msahaulifu Sana angalau awe anakukumbusha kila Asubuhi ukiamka, ili usizisahsu nyumbani,

Huyo pompeo ni babayo??
 
Mtu ayawazayo ndiyo yanayomzunguka. Uliyoyaeleza yote yanakuhusu wewe . Ukipinga namwaga ukweli hapa hapa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…