DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Maisha yangu hayakuhusu,ya rais yananihusu kwa sababu ni kiongozi,hajakatazwa kula bata hoja ni matangazo ya picha zake ktk kipindi hiki.Nafikir hujui rais ni nani ndo maana unajifanya upo busy na maisha yako,Katiba inamtambua kama mfariji mkuu wakati wa majanga.Mkuu, tengeneza maisha yako, maana hata hao wanaokufa Kwa Corona unadhani wanapenda?
Raisi hata akikaa amenuna haitasaidia kuzuia hii kitu
Hakuna ubaya wowote katika hilo.
I
Praise team.Mtoa mada una lack exposure
Anafanya mazoezi maana atakuja kuwa juu ya mawe kwelimimi kilichonifurahisha ni rais yupo juu ya mawe
Huku mtaani mtu akisema "niko juu ya mawe" ana maanisha ana hali mbaya.Ukitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri
Karibuni kwa michango yenu
Sema ukweli kipi cha ajabu hapo? au umelewa mbege
Haitotokea kamwe!Anafanya mazoezi maana atakuja kuwa juu ya mawe kweli
Acha majungu wewe, ulitaka apige picha anafanya nini? Hapo ndio mwisho wa upeo wa akili yakoUkitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri
Karibuni kwa michango yenu