Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

As if huo mshahara ukipunguzwa wanafaidika na hata jero ya vocha....

Wote tunakaa bar za vichochoroni. Hakuna tena afisa sijui wa nini wala wa nini.
Kuwa mfanyakazi wa umma ni dhamana. Ila wengine wanafikiria ni privilege yao. Ndio maana tuna wachela
 
Ukisema utaambiwa wao wanaiingizia serikali hela sisi wengine tunachukua hela zilizotengenezwa na wao
TRA wanamshahara mikubwa balaa.

Waliongezewa mwaka jana.

Meneja tu wa mkoa karibu 12M

Principal officers ni karibu 7M.

Seniors ni 5M

Juniors wanaanza na zaidi ya 2M

Mwenye diploma ana mshahara wa zaidi ya 1M.

Wizarani ama kwenye wizara seniors tena mwenye masters degree hamfikii mwenye diploma wa TRA.

Maisha haya hayako sawa kabisa.
 
Walipwe kwa rate za TGS

Kama kweli serikali inathamini usawa kwa watumishi wake

TGS B - Certificate
TGS C - Diploma
TGS D - Degree (arts & businnes courses)
TGS E - Degree (science courses)
Mamaweeeee! Watalia na kusaga meno
 
Baada ya mishahara kushushwa, nategemea wengi watajaa mitaani kufanya kazi binafsi, ili nao wawe wanalipa kodi. Sio kukusanya tu
 
Mishahara mikubwa, ufanisi wa kazi "zero"

Kwa mfano, Baadhi ya wafanyakazi TRA wanachofanya ni nini? Hizi biashara wanazozibambikia kodi na kuweka mazingira ya kura rushwa?
Na bado walipwe mishahara minono 😂😂😂😂😂
 
Naona kabisa jinsi wasomi watakavyoanza kutumia elimu zao kuungana na wasio wasomi kwenye sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na viwanda kuongeza vipato

Shida inakuja kwenye kupokea haya mabadiliko na kuweza kuishi maisha tusiyozoea..... Kuna taasisi na biashara zitazoathirika sana na nyingine hata kupotea sababu zinageuka kuwa huduma zisizo muhimu
 
Kwani mishahara yao ilikuwaje?
Naona kabisa jinsi wasomi watakavyoanza kutumia elimu zao kuungana na wasio wasomi kwenye sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na viwanda kuongeza vipato
 
Wapunguziwe walipwe kama wafanyakazi wanaofanyia halimashauri. Hawataki wakajiajiri vijana wapewe fursa.

[emoji4]
 
Ila kuna watu wanakula nchi na maisha duniani, mm kachwamba na laki 5 zangu nasema nina salary kubwa, mwenzako anapiga 15m.
Hata vidole vya mkono havilingani, hivyo hatuwezi kulingana kila kitu.
 
Katiba na sheria hazitumiki tena, Magufuli yeye ndo sheria na yeye ndo mahakama

Nakikumbuka kile kitabu cha mfalme Juha
 
Back
Top Bottom