Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Roho ya kwa nini tu. Ndiyo maana kichwa chake kinakaribia kufanana na koroshoNi jambo jema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho ya kwa nini tu. Ndiyo maana kichwa chake kinakaribia kufanana na koroshoNi jambo jema!
As if huo mshahara ukipunguzwa wanafaidika na hata jero ya vocha....
Watu walilipwa 40+ M, ukijumlisha na marupurupu ambayo ndiyo yalikuwa mengi wengine walifika mpaka 120 M.Ila kuna watu wanakula nchi na maisha duniani, mm kachwamba na laki 5 zangu nasema nina salary kubwa, mwenzako anapiga 15m.
TRA wanamshahara mikubwa balaa.
Waliongezewa mwaka jana.
Meneja tu wa mkoa karibu 12M
Principal officers ni karibu 7M.
Seniors ni 5M
Juniors wanaanza na zaidi ya 2M
Mwenye diploma ana mshahara wa zaidi ya 1M.
Wizarani ama kwenye wizara seniors tena mwenye masters degree hamfikii mwenye diploma wa TRA.
Maisha haya hayako sawa kabisa.
Roho ya kwa nini tu. Ndiyo maana kichwa chake kinakaribia kufanana na korosho
Wote tunakaa bar za vichochoroni. Hakuna tena afisa sijui wa nini wala wa nini.
Kuwa mfanyakazi wa umma ni dhamana. Ila wengine wanafikiria ni privilege yao. Ndio maana tuna wachela
Watu walilipwa 40+ M, ukijumlisha na marupurupu ambayo ndiyo yalikuwa mengi wengine walifika mpaka 120 M.
Mamaweeeee! Watalia na kusaga menoWalipwe kwa rate za TGS
Kama kweli serikali inathamini usawa kwa watumishi wake
TGS B - Certificate
TGS C - Diploma
TGS D - Degree (arts & businnes courses)
TGS E - Degree (science courses)
Mishahara mikubwa, ufanisi wa kazi "zero"
Naona kabisa jinsi wasomi watakavyoanza kutumia elimu zao kuungana na wasio wasomi kwenye sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na viwanda kuongeza vipato
Nonsense! Mshahara wa mtu haupunguzwi!!!Mr President is right!
Kashasema, hutaki acha kazi. Unalipwa mshahara mnono alafu unafanya madudu.Nonsense! Mshahara wa mtu haupunguzwi!!!
Hata vidole vya mkono havilingani, hivyo hatuwezi kulingana kila kitu.Ila kuna watu wanakula nchi na maisha duniani, mm kachwamba na laki 5 zangu nasema nina salary kubwa, mwenzako anapiga 15m.