The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Na waziri wa mambo ya ndani naye achunge mdomo wake mambo ya kuita makanisa ya walokole vibanda imani na kuponda imani zao aache.Vinginevyo na yeye atamfuata huyo Afisa biasharaKitendo alichokifanya huyo jamaa cha kuchana na kudhihaki kitabu cha imani ya Kidini si kitendo chakuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu,
Ugonjwa wa akili, hautakiwi kazin, hakuna hoja ya kumtetea ktk hili.What if huyo mtu ni mgonjwa? People that don't reason behave like hooligans.
Vipimo vingesema ni mgonjwa wa akili angetolewa kazini maana kichaaa anapewaje majukum. Vipimo vikionyesha yupo timamu, bado atatolewa tena, ita onyesha bado ni mtu wa ovyo. So katika case zote hizo, bado kufukuzwa ni tokeo la Mwisho.Ndio maana nimesema ni hisia,sina uhakika kama ni kweli,ukweli ungejulikana baada ya vipimo na hatua zingine kufuatwa
Sent using Jamii Forums mobile app