kwahiyo Ulitaka wakae kimya tu....nchi iingie kwenye machafuko kwaajili ya ujinga wa mtu 1
Maadam suala limeshapelekwa mahakamani sidhani kama ilikuwa busara kuliongelea na kutoa hukumu kubwa vile! Anyway, baada ya miaka 6 hukumu ya haki itatolewa.
Huu ni ujinga. Unamfukuzaje mtumishi kisa cha mambo ya dini wakati hauamini dini? Bora angefukuzwa kwa kosa lingine lakini sio hili huu ni unafikiView attachment 1354492
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hapa bongo.
Hivi sheria inasemaje?? Maana tulitegemea sheria ndo ichukue mkondo. Badala yake watawala ndo wanachukua mkondo na wanasema kabisa HATA AKISHINDA KESI asirudishwe kazini. What a shame!
Sent using Jamii Forums mobile app
raisi sindiye boss wa wafanyakazi..na jemedari mkuu ambaye anapaswa,kuhakikisha nchi haiingii katika machafuko....so anastahiki kufanya alichokifanyaSaa zingine muwe mnaelewa ,zpo mamlaka za kumshuhulikia huyo mtumishi na sivyo like Rais alivyofanya mkuu elewa ,,
Hakuna mtu anyetetea ujinga ule ila zpo hatua za kuchukuliwa na cyo Rais kufanya alivyofanya ,acheni kuleta hisia za kidini ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe huwa hauheshimu imani ya Kiranga?Hili nifunzo kwa wanao dhihaki imani za wenzao ,
Kila MTU abaki na iman yake , na ni vyema kila MTU aheshim imani ya mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoe maamuzi ukiwa na hasira!
Mbona mwanadamu akifanya dhambi halaumiwi Mungu?Mwanafunzi akifaulu,sifa huenda kwa mwalimu. Mwanadamu akitenda mema, ujue ni agizo la Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani aliyeua watu 20 kaachiwa, aliyechana kitabu tu cha masimulizi ya waarabu wa kale kawekwa ndani na kufukuzwa kazi juu. Kuna tatizo mahala, na sio kwenye serikali bali kwenye akili zetu waafrika. [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka Kura zao!Watu 20 wameuwawa kwa upumbavu wa mtu mmoja, raisi hajasimama kusema wala kukemea. Leo mtu kachana kitabu kwa ujinga wake, just a book printed by machines, ilà amechukua coverage ya nchi nzima.
Are we really serious?
mama me sipendi kupanda milima..kitoonga Kiki kitoonga me napenda mtere mteremko...Kama kuna mtumishi wa Umma alifanya hivyo mtaje nae apigwe chini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nafikili kufukuzwa sio tatizo atapambana kupata riziki bado ni kijana ila tatizo inaweza kuwa kesi ambayo inaweza mchelewesha kujipanga ili kuendelea na shughuli nyingine hata kama ana mtaji anaweza anza shona Viatu na kupiga kiwi mtaji hauzidi elfu tanoKwahiyo mheshimiwa sana rais wa nchi anahalalisha nchi kuendeshwa bila kufata utawala wa sheria/kuvunja katiba ya nchi?
Asante kwa kuwakumbusha hili.HIZO NI SALAMU na kwa wale wanaodharau imani za watu wengine ziwe za wakanyaga mafuta,wala keki za upako nk
Ukweli mtupu watapokea simu zake miezi ya kwanza baadae hatowasikia teenaa, labda awe alikua na kipato mbadala, nilishuhudia mchizi aliefukuzwa kazi na alikua mzungusha round mzuri tuu, alipofukuzwa wana kwenye watsp grp ya ofisi wakaanza kumdisi, hahaaa kumbe kulikua kuna washikaji Zake kaa wannee wakawa wanamvujishia mwana screenshot walizokua wanamdisi, uchunguzi ulipokamiliaka mwana hakukutwa na hatia wakamrudisha job, na BM akaomba head office impe kifuta machozi kwakua alishakaa mangele kama six months hivi. Alivyorudi job akajua ni yupi mchizi wa kweli na yupi snich.Yule boya mshamba sana ona sasa kapoteza ajira kwa jambo la kijinga duuuh
Mambo ya kijingajingajingaaa ona sasaa ameuingia msoto bila kutarajia,
Hapo ile kampani yake waliyokuwa wanakutana bar itamtenga yoteee maanina
Sent using Jamii Forums mobile app