Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Saa zingine muwe mnaelewa ,zpo mamlaka za kumshuhulikia huyo mtumishi na sivyo like Rais alivyofanya mkuu elewa Hakuna mtu anyetetea ujinga ule ila zpo hatua za kuchukuliwa na siyo Rais kufanya alivyofanya,acheni kuleta hisia za kidini ,
kwahiyo Ulitaka wakae kimya tu....nchi iingie kwenye machafuko kwaajili ya ujinga wa mtu 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais yupo sahihi kabisaa.hatuwezi kuwalea watumishi wapumbavu wanaohatarisha amani ya nchi.
Maadam suala limeshapelekwa mahakamani sidhani kama ilikuwa busara kuliongelea na kutoa hukumu kubwa vile! Anyway, baada ya miaka 6 hukumu ya haki itatolewa.
 
Hivi sheria inasemaje?? Maana tulitegemea sheria ndo ichukue mkondo. Badala yake watawala ndo wanachukua mkondo na wanasema kabisa HATA AKISHINDA KESI asirudishwe kazini. What a shame!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa zingine muwe mnaelewa ,zpo mamlaka za kumshuhulikia huyo mtumishi na sivyo like Rais alivyofanya mkuu elewa ,,
Hakuna mtu anyetetea ujinga ule ila zpo hatua za kuchukuliwa na cyo Rais kufanya alivyofanya ,acheni kuleta hisia za kidini ,

Sent using Jamii Forums mobile app
raisi sindiye boss wa wafanyakazi..na jemedari mkuu ambaye anapaswa,kuhakikisha nchi haiingii katika machafuko....so anastahiki kufanya alichokifanya
 
Hii unapatikana Afrika tu mzee bado tuko gizani sana,watu 20 muuwaji yuko nje mtu hatari ni yupi hapo?
Yani aliyeua watu 20 kaachiwa, aliyechana kitabu tu cha masimulizi ya waarabu wa kale kawekwa ndani na kufukuzwa kazi juu. Kuna tatizo mahala, na sio kwenye serikali bali kwenye akili zetu waafrika. [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba iangaliwe upya, serikali haina dini ilhali kiongozi wake mkuu ana dini na ni mwenda kanisani/msikitini.

Kwa hali hii lazima maamuzi yoyote ya serikali yawe na mrengo wa kuzitizama dini za watu ikiwemo dini ya kiongozi mkuu, na wakati mwingine hata kuegemea upande wa dini yake.

Tusidanganyane kuwa serikali haina dini...
 
Waliomrekodi tu! Thats my biggest problem.
Huu upumbavu mwingine unaoendelea ni kiki tuhh!!
 
Watu 20 wameuwawa kwa upumbavu wa mtu mmoja, raisi hajasimama kusema wala kukemea. Leo mtu kachana kitabu kwa ujinga wake, just a book printed by machines, ilà amechukua coverage ya nchi nzima.

Are we really serious?
 
Watu 20 wameuwawa kwa upumbavu wa mtu mmoja, raisi hajasimama kusema wala kukemea. Leo mtu kachana kitabu kwa ujinga wake, just a book printed by machines, ilà amechukua coverage ya nchi nzima.

Are we really serious?
Anataka Kura zao!
 
Kwahiyo mheshimiwa sana rais wa nchi anahalalisha nchi kuendeshwa bila kufata utawala wa sheria/kuvunja katiba ya nchi?
Lakini nafikili kufukuzwa sio tatizo atapambana kupata riziki bado ni kijana ila tatizo inaweza kuwa kesi ambayo inaweza mchelewesha kujipanga ili kuendelea na shughuli nyingine hata kama ana mtaji anaweza anza shona Viatu na kupiga kiwi mtaji hauzidi elfu tano
 
Yule boya mshamba sana ona sasa kapoteza ajira kwa jambo la kijinga duuuh

Mambo ya kijingajingajingaaa ona sasaa ameuingia msoto bila kutarajia,

Hapo ile kampani yake waliyokuwa wanakutana bar itamtenga yoteee maanina

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu watapokea simu zake miezi ya kwanza baadae hatowasikia teenaa, labda awe alikua na kipato mbadala, nilishuhudia mchizi aliefukuzwa kazi na alikua mzungusha round mzuri tuu, alipofukuzwa wana kwenye watsp grp ya ofisi wakaanza kumdisi, hahaaa kumbe kulikua kuna washikaji Zake kaa wannee wakawa wanamvujishia mwana screenshot walizokua wanamdisi, uchunguzi ulipokamiliaka mwana hakukutwa na hatia wakamrudisha job, na BM akaomba head office impe kifuta machozi kwakua alishakaa mangele kama six months hivi. Alivyorudi job akajua ni yupi mchizi wa kweli na yupi snich.
Ndo maana nikikutana na daladala liloandikwa ondoka tukuseme nacheka moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom