Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
- Thread starter
-
- #101
Buka saba imepanda auSisi hatuna desturi wala Tabia Hiyo.. Ndio maana kuna vijana wengi hapa jukwaani wanazuga wapo CDM lakini kutwa tunapigana vikumbo pale LUMUMBA
Ni kweli kabisa mkuuAlafu amesahau kuwa CCM bila kukata mauno vizuri hata ujumbe Wa Nyumba kumi utausikia redion
Halafu usijifanye msahaulifu, mwaka Wa Jana kwenye kura za maoni nasikia ulimkunja MTU ili umsaidie ashinde ya kweli hayo?Sisi hatuna desturi wala Tabia Hiyo.. Ndio maana kuna vijana wengi hapa jukwaani wanazuga wapo CDM lakini kutwa tunapigana vikumbo pale LUMUMBA
Ipande wapi mkuu wakati ngosha keshaagiza kubana matumizi?Buka saba imepanda au
🙂Aah aah. Simjui kwa karibu, lakini lazima nikiri nampenda sana dada yake Mwamtumu Malale. Maybe I'm biased.Labda akuwakilishe wewe na ukoo wako
Hapa hatuangalii nani katangulia. Usichokoze ugomvi huku ukijua unaishi kwenye nyumba ya vioo. Mama KAMILI ameteuliwa na ni mbunge wa viti maalum CDM. Anatofauti gani na Dk Migiro? hakika bavicha hakuna vijana wa kuachiwa chama kama wewe ndio mmoja waoKwani sasa hivi ni nani alafu yupi katiyao ametangulia kupewa madaraka?
Kama ni kwa hilo hongera sana,ila jiangalie maana kunawezekana kuna wanene wanajihudumiaAah aah. Simjui kwa karibu, lakini lazima nikiri nampenda sana dada yake Mwamtumu Malale. Maybe I'm biased.
Mungu huyu angewakumbuka hawa vijana wanaenda kuadhirika sasa kwa kukalia majungu badala ya kufanya kaziNi kweli kabisa mkuu
Najua Moyoni unaipenda na kuikubali ccm lakini unazuga na Sizitaki mbichi hiziWazigua hawako hivi nakushangaa sana weye, hakika unapotea hiv hivi
Unaenda lini ziguaNajua Moyoni unaipenda na kuikubali ccm lakini unazuga na Sizitaki mbichi hizi
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, alitaka kudanganya wakati hajui kuwa watu tunazinyaka habari zao?Halafu usijifanye msahaulifu, mwaka Wa Jana kwenye kura za maoni nasikia ulimkunja MTU ili umsaidie ashinde ya kweli hayo?
CDM ndio wanaongoZA kwa majungu. Kuteuliwa kwa DK MIGIRO nyie kinawauma nini?Mungu huyu angewakumbuka hawa vijana wanaenda kuadhirika sasa kwa kukalia majungu badala ya kufanya kazi
Naona viraka vinamyemelea Lizabon na MotochiniIpande wapi mkuu wakati ngosha keshaagiza kubana matumizi?
Sasa hivi wamenunuliwa mabirika ya kuuzia kahawa na tangawizi pale lumumba!Mungu huyu angewakumbuka hawa vijana wanaenda kuadhirika sasa kwa kukalia majungu badala ya kufanya kazi
Tunaofia mizuka tuCDM ndio wanaongoZA kwa majungu. Kuteuliwa kwa DK MIGIRO nyie kinawauma nini?
Not that way!Kama ni kwa hilo hongera sana,ila jiangalie maana kunawezekana kuna wanene wanajihudumia
Jiangalie mkuuNot that way!
Nikikwambia shirikisha ubongo usichukie maana huelewi kwani sasa hivi ni mbunge?Hapa hatuangalii nani katangulia. Usichokoze ugomvi huku ukijua unaishi kwenye nyumba ya vioo. Mama KAMILI ameteuliwa na ni mbunge wa viti maalum CDM. Anatofauti gani na Dk Migiro? hakika bavicha hakuna vijana wa kuachiwa chama kama wewe ndio mmoja wao
kwani unadhani MIGIRO yupo kama SUGU (NAKUHESHIMU SANA KAKA JOSEPH)Tunaofia mizuka tu
Halafu unakosea me sio chadema, kuhusu Migiro haijaniuma kitu, ila niliuliza tu, kuwa hakuna wengine wenye sifa? Maana yeye km kuitumikia Tz ameitumikia INA tosha sasa apumzike, ni zamu ya wengineCDM ndio wanaongoZA kwa majungu. Kuteuliwa kwa DK MIGIRO nyie kinawauma nini?