Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu huyo MOTOCHINI ana kazi yake ya kuangusha mawese kwenye mashamba ya wakulima mbalimbali pale mwandiga, malipo yake ni sh 100 kwa chana mojaNaona viraka vinamyemelea Lizabon na Motochini
Kwahiyo hata mwanzo kulikuwa na sababu ya kuwa mbunge? au kwa vile dk Slaa Alikuwa kule? acha utetezi wa kitoto taaluma yako huitendei hakiNikikwambia shirikisha ubongo usichukie maana huelewi kwani sasa hivi ni mbunge?
Lowassa na Migiro nani ameitumikia nchi hii kwa muda mrefu? kwanini familia yake ilipoomba mzee astaafu siasa mlipinga?Halafu unakosea me sio chadema, kuhusu Migiro haijaniuma kitu, ila niliuliza tu, kuwa hakuna wengine wenye sifa? Maana yeye km kuitumikia Tz ameitumikia INA tosha sasa apumzike, ni zamu ya wengine
Kinachonistaajabisha ni kwamba hawataki kabisa kuendana na kasi ya mwenyekiti wao mtarajiwa ya hapa kazi tu, wao wako bize mjungu, fitina na unafiki, sasa kuuza kahawa kweli?Sasa hivi wamenunuliwa mabirika ya kuuzia kahawa na tangawizi pale lumumba!
Jibu swali wacha kua kioja sasa hivi ni mbunge?Kwahiyo hata mwanzo kulikuwa na sababu ya kuwa mbunge? au kwa vile dk Slaa Alikuwa kule? acha utetezi wa kitoto taaluma yako huitendei haki
Mawese yamemwaribu kichwaTeeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu huyo MOTOCHINI ana kazi yake ya kuangusha mawese kwenye mashamba ya wakulima mbalimbali pale mwandiga, malipo yake ni sh 100 kwa chana moja
Mkuu hiyo ndio inatushangaza watanzania tulio wengiKinachonistaajabisha ni kwamba hawataki kabisa kuendana na kasi ya mwenyekiti wao mtarajiwa ya hapa kazi tu, wao wako bize mjungu, fitina na unafiki, sasa kuuza kahawa kweli?
uziguani nakwenda bila kupanga wala kupangiwa siku Mtoto MzuriUnaenda lini zigua
Ujue kuna na gongo inayotokana na kayoga, hiyo ndio balaaMawese yamemwaribu kichwa
Acha umbeya banaIt is only in africa where a person can walk 100 steps ahead and go back 150 steps and praises him/herself that he/she is improving
Ona sasa mnavyochachawa na lowasa, nafasi zinashikiliwa na watu wale wale miaka nenda rudi, halafu mnalalamika ajira hakuna, bure kabisaLowassa na Migiro nani ameitumikia nchi hii kwa muda mrefu? kwanini familia yake ilipoomba mzee astaafu siasa mlipinga?
Jibu swali langu acha kurukaruka. Unaleta siasa za Maji taka hapa.Ona sasa mnavyochachawa na lowasa, nafasi zinashikiliwa na watu wale wale miaka nenda rudi, halafu mnalalamika ajira hakuna, bure kabisa
sijaona ulipouliza mkuuJibu swali wacha kua kioja sasa hivi ni mbunge?
Mkuu pongezi nyingi zikifikie hiki kikosi kazi chetu maana MOTOCHINI kabanwa hadi kaamua kulikimbia jukwaa!Kinachonistaajabisha ni kwamba hawataki kabisa kuendana na kasi ya mwenyekiti wao mtarajiwa ya hapa kazi tu, wao wako bize mjungu, fitina na unafiki, sasa kuuza kahawa kweli?
Wanafaa kutumbuliwa hawa maana wanavhagua kazi au ni uvivu asiliMkuu hiyo ndio inatushangaza watanzania tulio wengi
Hakuna kikosi kazi zaidi ya kikosi majungu. Ngoma ipigwe kwa Jirani Viuno mkatike nyieMkuu pongezi nyingi zikifikie hiki kikosi kazi chetu maana MOTOCHINI kabanwa hadi kaamua kulikimbia jukwaa!
Mkuu ukiona mtu analazimisha kutawala ujue ni mvivu wa kuwajibika,hao ndio ma ccmWanafaa kutumbuliwa hawa maana wanavhagua kazi au ni uvivu asili
Ha ha umesahau kuwa ni mlinzi wa yule fisi? AnamuwahiMkuu pongezi nyingi zikifikie hiki kikosi kazi chetu maana MOTOCHINI kabanwa hadi kaamua kulikimbia jukwaa!
Haya endeleeni kukatika tu hapo lumumbaHakuna kikosi kazi zaidi ya kikosi majungu. Ngoma ipigwe kwa Jirani Viuno mkatike nyie
Cc:MOTOCHINIHa ha umesahau kuwa ni mlinzi wa yule fisi? Anamuwahi