Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Hata asingeteuliwa Dr. Kipilimba, mwingine angeteuliwa. Hata angeteuliwa mwingine, pongezi zingetolewa. Na kashifa nyingine zingetolewa. Dr. Kipilimba ni mtu mzima. Katika safari yake ya maisha miaka yote hiyo hawezi kukosa makandokando. Ni kanuni za maisha tuu.

Otherwise, ningefurahi kama waTanzania tungejitahidi kupata mfumo ambao nafasi nyeti kama hizi zinaidhinishwa na bunge. (confirmation). Hiyo ndo njia pekee ya kupata viongozi waadilifu. Na siyo kumlaumu JPM. Tanzania ni kubwa kuliko sisi sote. Miaka 50 ijayo inawezekana 70% tukawa hatupo dunia hii. Tujifunze kujenga misingi imara ya taifa letu kwa faida ya leo na vizazi vijavyo.

Tumpongeze Dr. Kipilimba na tumtakie heri katika kulitumikia taifa letu.
Bonge la Post Mkuu. Hongera sana
 
Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa.

- Anaapaishwa leo mchana.

Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.

View attachment 386820
Huyu kapilimba ni kati ya mashushu waliobobea amekuwa akitumiwa na idara katika maeneo muhimu B O T ndio alikuwa anaisaidia idara hiyo kwa kuwapa information muhimu hasa za kupiga dili....

Hata baada ya kuondoka BOT kwenda masomoni baadae tena baada ya masomo alilejeshwa tena BOT kwa kazi maalum za kijasusi

aliondoka Bot kwa kuandika barua ya likizo akiwa likizo alisikika tena Nec hapo pia alienda kwa kazi maalum za kijasusi baada ya zoezi kukamilika la uchaguzi.......Jasusi huyo alipelekwa Nida kukaimu ukurugenzi kwa kazi maalum na mpaka hivi Jpm anamrudisha kundini Kuingoza Idara hiyo yA Usalam
 
Hata asingeteuliwa Dr. Kipilimba, mwingine angeteuliwa. Hata angeteuliwa mwingine, pongezi zingetolewa. Na kashifa nyingine zingetolewa. Dr. Kipilimba ni mtu mzima. Katika safari yake ya maisha miaka yote hiyo hawezi kukosa makandokando. Ni kanuni za maisha tuu.

Otherwise, ningefurahi kama waTanzania tungejitahidi kupata mfumo ambao nafasi nyeti kama hizi zinaidhinishwa na bunge. (confirmation). Hiyo ndo njia pekee ya kupata viongozi waadilifu. Na siyo kumlaumu JPM. Tanzania ni kubwa kuliko sisi sote. Miaka 50 ijayo inawezekana 70% tukawa hatupo dunia hii. Tujifunze kujenga misingi imara ya taifa letu kwa faida ya leo na vizazi vijavyo.

Tumpongeze Dr. Kipilimba na tumtakie heri katika kulitumikia taifa letu.
Maneno ya mtu asiye na Husda haya. wengine sasa wanatokwa na mapovu kwa sababu tu wajomba zao, rafiki zao au hata wao wenyewe waliitaka hii nafasi.
 
Taarifa za kuaminika ilizozipata gazeti hili, zimeeleza kuwa Waziri Kitwanga anahusika kupitia kampuni yake ya Infosys anayomiliki pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), iliyo chini ya Wizara hiyo hiyo.

Jeshi la Polisi limekumbwa na kashfa kubwa ya manunuzi ya vifaa vya kuhifadhi alama za vidole ambapo Kamati ya PAC imegundua kuwa kampuni ya Lugumi Enterprises haikutekeleza mkataba ipasavyo.

'Kampuni hiyo ililipwa sh. bilioni 34 na jeshi la polisi ili kusambaza vifaa hivyo nchi nzima katika vituo 138 vya polisi lakini ni vituo 14 vilivyopata vifaa hivyo'.

Gazeti hili limegundua kuwa moja ya kampuni iliyopewa kazi hiyo ni Infsosys ambayo nakala za msajili wa makampuni inaonyesha kuwa inamilikiwa na Charles Kitwanga na Dk. Modestus Francis Kipilimba, ambaye ni Mkurugenzi wa NIDA.
dkt-modestus-francis-kipilima_210_120-jpg.386839

Dk. Modestus Kipilimba.

Cc Lizaboni
 
Namtakia kila lakheri kwenye kazi hiyongumu mno ya kutetea uwepo, amani na mustakabari wa Tanzania yetu
 
Huyu kapilimba ni kati ya mashushu waliobobea amekuwa akitumiwa na idara katika maeneo muhimu B O T ndio alikuwa anaisaidia idara hiyo kwa kuwapa information muhimu hasa za kupiga dili....

Hata baada ya kuondoka BOT kwenda masomoni baadae tena baada ya masomo alilejeshwa tena BOT kwa kazi maalum za kijasusi

aliondoka Bot kwa kuandika barua ya likizo akiwa likizo alisikika tena Nec hapo pia alienda kwa kazi maalum za kijasusi baada ya zoezi kukamilika la uchaguzi.......Jasusi huyo alipelekwa Nida kukaimu ukurugenzi kwa kazi maalum na mpaka hivi Jpm anamrudisha kundini Kuingoza Idara hiyo yA Usalam
Ahsante kwa maelezo yako Mkuu. Naamini Dr ni mtu sahihi kujaza nafasi hiyo
 
Anajipanga kwa serikali yenye ufanisi
serikali imefitinika haina dira wala maono kila kitu kimekwama pole zake Mr haambiliki eti Dar unampa mtu kama Makondo unaambiwa alikuwa disqualified huko Moshi
 
Modestus Kapilimba (PhD) hongera sana kwa kuteuliwa kuongoza taasisi yetu ya Ujasusi.

Uwezo wako ktk medani wajulikana; tunakutakia kazi njema ktk kipindi hiki.

Mungu ibariki Tanzania
 
Kurugenzi ya mawasiliano ikulu mbona hateuliwi mtu
 
Kwa hiyo naibu ajiunge na Dau kusubiri 'ubalozi' baada ya ukaguzi wa Mabalozi Hewa utakapoisha
 
Back
Top Bottom