Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

Eti kamwe, Mungu mwenyewe ndiye anayemjua, wewe ni worthless individual unayebweka tu. Unadhani kuwa kiongozi wa nchi Mungu hahusiki. Nyumbu bhana
Rais madikteta anauehusika ni shetani
 
Wewe na huyo Mwenzio akili zenu tunazijua wala hatuwashangai. Sisi tumeamua kujichunga wenyewe kama sisi maana hatuoni msaada.
 
"Jambo linapokua kubwa zaidi ya binadamu, basi tunamsogezea Mungu." Hatutakiwi kuwa na hofu ya kitu chochote tukiwa na Mungu, kama wewe sio wa Mungu fanya unavyojua.
 
Kwa hiyo unapambana Ili Mungu akusaidie, ule Msemo wa Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, kwako wewe ni kinyume chake Siyo? Wewe huwa unaanza halafu Mungu anafuata?? Si ndiyo?

Unanini Kilicho halali yako hapo ulipo? Akili Siyo? Au ni nini, Mwili ambao badae ni maiti

Utaweza kumsaidia Mungu wewe?

Kwa hiyo ukiugua unakazana kupumua Kwa nguvu Ili na Mungu akusaidie kuendelea kuishi Siyo?

Mandiko haya uliyonukuu ni ya kishetani na hayapo kwenye vitabu vya Mungu

Tuna muomba MUNGU lakini pia lazima tuchukue tahadhari maana hata MUNGU alisema jisaidie nitakusaidia
[/QU
 
Kwa ubabe wake marehemu hawa hawakuchukua tahadhari stahiki kwa ama kumuogopa au kumuamini.
Inderectly utaona nani kachangia vifo hivyo.😥
 
Hivyo vitabu vya Mungu vitakuwa viliandikwa na maza ako
 
Mzee kama wewe kukosa akili ni hatari sn, mpuuzi mkubwa kwahiyo tuache kuchukua tahadhari? shame on you
 
Inaelekea kuna jambo hukielewi. Jitihada za kujikinga dhidi ya janga la maambukizi ya Corona haziwezi kuongoza na mbinu za mtu mmoja mmoja tu. Zinatakiwa kuwa collective. Hospitali, wataalam, vituo vya afya, vyombo vya usafiri, kuhami maisha kwa wananchi wasiojiweza, na kadhalika, hakuwezi kufanikishwa na mtu mmoja mmoja tu, bali kupitia collective policy; Serikali. Kwa sasa Serikali iko kimya au unatoa maelekezo ya 'kuipotezea' tu.
 
Mzee kama wewe kukosa akili ni hatari sn, mpuuzi mkubwa kwahiyo tuache kuchukua tahadhari? shame on you
Nimegundua kitu, nimequote jitu jinga lisiloelewa chochote halafu eti linasema linaweza kumsaidia Mungu?

Nilichokuuliza ndicho hicho umejibu? Wakati huohuo unasema unaweza kumsaidia Mungu!

Jinga wewe
 
Acheni kumuhusisha Mungu na mambo ya ajabu. Mungu amekupa akili na uwezo wa kung'amua mambo. Mbona mkiumwa malaria hamsemi tunamuachia Mungu, bali unaenda hospitali unapewa dawa, unameza unapona?

Hayo ni matumizi mabaya ya jina la Mungu.
 
"Mchukue mtoto na mamaye ukamfiche Misri hadi balaa lipite". "Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa". Korona ipo. Chukua tahadhari. Kufanya hivyo ni kujificha na kuwa na maarifa.
 
Magufuli anakwepa wajibu wake. Yeye aliapa mbele ya umma kulinda usalama na uhai wa nchi. Hakuapa kuwaongoza watanzania kuelekea safari ya mbinguni Kwa Baba.

Mambo ya imani awaachie maaskofu, mapadre, mashemasi, wachungaji na wainjilisti. Yeye aongoze nchi kwa kuzingatia mbinu na miongozo ya sayansi ya asili sayansi ya jamii.

Anaonekana kuacha kujibu swali alilopewa kisha anajitungia swali lake na kutoa majibu yake mwenyewe. Huu ni ulaghai?!
 
Ila si tulishakubalia kuwa korona haipo na tumeishinda iweje Tena asema atutusisitize tusali Sana na kwamba eti tumtegemee MUNGU Sana ,tatizo liko wapi?
 
Mkuu hizi sizije kuwa kuwa dua za kuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…