Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

Umeandika nini sasa? funga hospital zote tuombe.
 
Hii ni secular country, kuna wengine hatuamini.

Atimize majukumu yake kama Rais wa nchi sio mchungaji au sheikh
 

Waliempa degree ya kemia huyu mtu wamng'anye
 
Tumeambiwa tuamini kuwa Mungu yupo nasi tumtumainie kwa kila kitu. Ametuponya mengi. Basi tupande juu ya mti tujiachie, hatutadhurika na gravity!

Kama hilo hatuwezi kulifanya, basi na policy yetu katika kuikabiri corona liko kama kupanda juu ya mti na kujiachia, we will face the wrath of gravity for sure!
 
Wewe mpaka leo unasubiri tangazo? Endelea kusubiri tu.
Huyo Mungu mnaesema tumuombe anataka tujali na wenzetu pia as long as kuna watu hawajikingi kwasababu rais hajatangaza ni watu wa kuwajali pia sasa wewe kwann unapinga rais asitangaze..as matter of fact unakasirika wewe una maslahi gani na serikali kutotangaza hatari na tahadhari?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Usimlamu mleta mada. Siyo kama amefurahia maneno ya rais. Ameleta watu waone jinsi dunaiani kulivyo na watawala wa ajabu. Kuhusu kusubiri tamko: Siyo kila mtu ana uelewa kama wako. Vijijini huko kuna watu wanaamini kila rais anachosema. Akisema tumwamini Mungu, tusivae barakoa na tusali siku tatu, nao wanafanya hivyo hivyo. Serikali zinakuwepo ili kutoa directives kwa mambo kama haya. Serikali zote duniani zimetoa directives na nyingine zimefanya sheria kabisa. Otherwise, uko sahihi kabisa kwa mchango wako.
 
Hili la kumfanya Mungu kuwa sera linanitia wasi wasi mkubwa.
Ni dalili ya serikali kukosa majibu ya kina yanayotokana na changamoto lukuki za nyakati hizi.
CCM na serikali yake inakosa a unifying ideology.

Sasa hivi sera ni hizi:
Ukiambukizwa......sali
Ukiona adui......sali
Ukipata ajali......sali
Nchi ikiingiliwa....sali

Basi na mimi nichomekee...
Wapinzani wakija juu......sali
Bunge likivurunda.........sali
Ukitaka maendeleo.......sali

Kwa kweli Mungu anasikia sala zetu, lakini ametupa kitu cha ziada-AKILI za kuchanganua mema na mabaya.
Vilevile MAARIFA ya namna ya kukabili mazingira yeu.

Sasa hivi watu wanakufa kwa kukosa maarifa tuliyopewa bure, licha ya kusali sana.
 

Na wewe ni mchambuzi eti.[emoji3]
 
Hii ni good shoot
 
This guy is showing his limitations

Ndio mwisho wa thinking capacity yake

Ndio mwisho wake nothing he can do,so bad,next time Watanzania waangilie brain high powered people

Wewe ni High brain powered?
 
Imeandikwa makalioni kwako!
Ukiwa na tabia ya kutukana wengine bila sababu unapoteza hekima ya asili,kakukosea nini?Kila mmoja aachwe atoe hoja na mawazo yake kwa Uhuru.Don't Judge people according to your own mentality, every one have the right to express themselves.
 
BAVICHA HILI KWAO CHUNGU.HAPO WALIPO WANATAMANI MODS WAUFUTE HUU UZIII. KATIKA RAIS AMBAE ATAKUMBUKWA KWA KUWA NA MAONO AMBAYO ILI UYAELEWE UNATAKIWA UWE NA THE WISDOM ABOVE NORMAL ni huyu jpm.I salute you!!!!

Kweli mkuu yaan nikisoma baadhi ya jumbe za watu humu hadi nasikitika najiuliza are they normal human beings?. Yaan wana ujuzi wa kumchambua Mungu alie muumba wa kila kitu. Wana ufahamu wa maono yasiyo kua na Hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…