EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
una pepo la kutokuaminiKutoka kupiga ngoma za asili mpaka kuhubiri dini.
The stone sio wa mchezo mchezo, asili yake hubadilika kulingana na hitaji la wakati husika.
Kesho mshuwa wake itakuwa alikuwa daktari katika kuhalalisha jambo jengine.
Kwa hiyo unapambana Ili Mungu akusaidie, ule Msemo wa Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, kwako wewe ni kinyume chake Siyo? Wewe huwa unaanza halafu Mungu anafuata?? Si ndiyo?
Unanini Kilicho halali yako hapo ulipo? Akili Siyo? Au ni nini, Mwili ambao badae ni maiti
Utaweza kumsaidia Mungu wewe?
Kwa hiyo ukiugua unakazana kupumua Kwa nguvu Ili na Mungu akusaidie kuendelea kuishi Siyo?
Mandiko haya uliyonukuu ni ya kishetani na hayapo kwenye vitabu vya Mungu
Unamlazimisha, anakijua anachokiandika sivyo unavyofikiri wewe.Unapokua unaandika Mungu andika kwa herufi kubwa!
Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi uwezo wa binadamu tulisogeze kwa Mungu.
Rais anasema mwaka jana tulimuona Mungu akitusaidia lakini sasa naona wengine hawana imani tena wanatengeneza taharuki na kutishana mimi sifanyi lokudauni tuchape kazi Mungu yupo. Kwanini au amwamini kuwa Mungu anaweza kuishinda Korona?
Mimi mtoto wa mchungaji nahoji hivi hawa baadhi ya viongozi wa dini ambao nao pia wanaogopa Corona kiasi cha kwamba wanatushauri tuwasikilize watu wa afya na wamitandaoni hivyi hawa watumishi wa Mungu si wangeacha hiyo kazi na kuja huku mchangani ijulikane moja.
Nawauliza na ninyi wana janvi Mungu yupo au, maana babuzetu waliomba mvua zilinyesha, waliomba nzige waondoke asubui waliwakuta chali kificha mende, magonjwa ya mlipuko hayakuwagusa, hivi na yule Mungu wa babu zetu yupo wapi siku hizi na huyu wa kanisani na msikitini yupo wapi.
Una maanisha ni ktk hili!? Atangaze vipi ili uelewe kuwa alishatangaza hadharani? Hicho kichwa chako i see!?Tatizo sio Mungu hayupo ila tunaomba atangaze hadharani kua C19 ipo ili tahadhari zianze kuchukuliwa.
😷 😷😷😷😷😷😷😷
Kama jiwe angekua anaamini mungu kwa nini anatumia dawa za kuishi kwa. Matumaini ARV?Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi uwezo wa binadamu tulisogeze kwa Mungu.
Rais anasema mwaka jana tulimuona Mungu akitusaidia lakini sasa naona wengine hawana imani tena wanatengeneza taharuki na kutishana mimi sifanyi lokudauni tuchape kazi Mungu yupo. Kwanini au amwamini kuwa Mungu anaweza kuishinda Korona?
Mimi mtoto wa mchungaji nahoji hivi hawa baadhi ya viongozi wa dini ambao nao pia wanaogopa Corona kiasi cha kwamba wanatushauri tuwasikilize watu wa afya na wamitandaoni hivyi hawa watumishi wa Mungu si wangeacha hiyo kazi na kuja huku mchangani ijulikane moja.
Nawauliza na ninyi wana janvi Mungu yupo aiweiu, maana babuzetu waliomba mvua zilinyesha, waliomba nzige waondoke asubui waliwakuta chali kificha mende, magonjwa ya mlipuko hayakuwagusa, hivi na yule Mungu wa babu zetu yupo wapi siku hizi na huyu wa kanisani na msikitini yupo wapi.
Mbayuwayu [emoji885] katika kufikisha ujumbe wa kuhami mbawa zake ... !!!Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi uwezo wa binadamu tulisogeze kwa Mungu.
Rais anasema mwaka jana tulimuona Mungu akitusaidia lakini sasa naona wengine hawana imani tena wanatengeneza taharuki na kutishana mimi sifanyi lokudauni tuchape kazi Mungu yupo. Kwanini au amwamini kuwa Mungu anaweza kuishinda Korona?
Mimi mtoto wa mchungaji nahoji hivi hawa baadhi ya viongozi wa dini ambao nao pia wanaogopa Corona kiasi cha kwamba wanatushauri tuwasikilize watu wa afya na wamitandaoni hivyi hawa watumishi wa Mungu si wangeacha hiyo kazi na kuja huku mchangani ijulikane moja.
Nawauliza na ninyi wana janvi Mungu yupo au, maana babuzetu waliomba mvua zilinyesha, waliomba nzige waondoke asubui waliwakuta chali kificha mende, magonjwa ya mlipuko hayakuwagusa, hivi na yule Mungu wa babu zetu yupo wapi siku hizi na huyu wa kanisani na msikitini yupo wapi.
Jiwe kama anaamini mungu kwa nini anatumia ARV & ARTBAVICHA HILI KWAO CHUNGU.HAPO WALIPO WANATAMANI MODS WAUFUTE HUU UZIII. KATIKA RAIS AMBAE ATAKUMBUKWA KWA KUWA NA MAONO AMBAYO ILI UYAELEWE UNATAKIWA UWE NA THE WISDOM ABOVE NORMAL ni huyu jpm.I salute you!!!!
Kwa sababu wapinzani walisema c19 ipo wasingesema ingeimbwa mpaka dunia ingechoka kusikilizaRais kwa nini anapata kigugumizi kizito hivi kutamka tu kuwa covid 19 ipo ili Watanzania hususan mashariki wake walione hilo na wote kwa ujumla wetu tuwe na mwelekeo mmoja wa kuchukua tahadhari. Anafika mahali anaquestion hata Imani ya viongozi wa dini wanaotuasa kuchukua tahadhari. This is pathetic.
Mbona wewe unapingana na huyo mungu wako unayewaitia wengine wasiokubaliana nanyi kuwa ni 'idiots'? Kuna u'idiot' kushinda huu wako?Corona si tatizo la kumwita Mungu, ni tatizo la kupambana nalo kwa maarifa aliyotupa Mungu.
Mkuu, ni kweli lugha ya staha ni muhimi. Labda hasira zinawapelekea watu waandike kwa ghadhabu ... nimeona Zimbabwe watu wakishangilia kusikia Mawaziri wamekufa.Sawa Wyatt Mathewson ila naamini unakosea sana kusema kuzika vichaa wenzie sasa hiyo akili yako kubwa iko wapi? Kama hata lugha ya staha heshima na Adabu huna!
Rais ni kiongozi wetu amesema tuchukue tahadhari zote na tusali hapo shida ipo wapi? Leo hapo msibani umeona kuna watu wamevaa barakoa wengine hawakuvaa uliona kawaambia walovaa wazivue? Sasa hapo si swala tu la utashi wa Mtu tu au na hilo hadi Rais aliseme?
Haya watu atangaze atangaze sasa atangaze vipi ilihali kasema tuchukue tahadhari si ina maana anajua uwepo wa hiyo changamoto! Pia akitangaza vifo ndio vitaisha sasa? Haya basi sawa aseme tujifungie ndio hamtaongea? Mtasema alichelewa angefanya toka mda pia hajafunga bado tunalaumu au yeye ndio anawaua watu wote?
Nilichokuja kujifunza Binadamu hashukuru na hana moyo wa kuridhika hata umfanyie nini ni wachache sana Mungu aliowachagua.
Binafsi naungana na Mheshimiwa Rais kwa 100% hata kama na mimi ikiwa ni zamu yangu kufa au Ndugu kwa changamoto yeyote nitaungana na Mheshimiwa Rais Till the end kwa maono aliyonayo.
At the end everyone will stand to face his/ her Judgement with God and not Magufuli. Endeleeni kulaani na kutukana mnavyoweza lakini mwisho wa siku ni maisha ya Mtu mmoja mmoja na si serikali wala Magufuli.
Kila mtu na Imani yake na akili yake na ufahamu wake pia. Mimi ufahamu wangu unanambia kusimama na Mungu na kuchukua tahadhari na ama hakika sijajuta. Kazi nafanya nasonga mbele na natembea kwa imani.
..eti Leo jiwe anamjua Mungu kuliko Roma wanakovaa barakoa kuanzia Papa kwenyewe..Inategemea ana maana ya mungu au Mungu! Yule mungu wanayemtumikia wao na akina makonda na Diwani msuya anayewaruhusu kuua hovyo. Yule mungu wanayemtumikia anayewaruhusu kutesa na kuteka binadamu wenzao, yule aliyewaruhusu kudhulumu haki katika uchaguzi uliopita huyo siye tunayemwamini au kumtumikia. Magu mungu wako anayeruhusu ufedhuli siyo Mungu wetu wa Haki samahani endelea naye.
Hata akilazimisha kuwa "kiongozi" kwa bunduki, bado amebarikiwa na Mungu. Huyo Mungu wa mfukoni kwenu atakuwa ni wa maigizo kama haya mnayofanya.Unadhani kuwa kiongozi wa nchi Mungu hahusiki
.. exactly...and this brings more curse and regression to this country...just because of one evil mind....God forbid..If you show stupidity in Tanzania you are identified as a PATRIOT, but if you are enlightened, you are a security risk!!
Mimi naweza kuchukua sawa vipi kuhusu wanaokaa vijijiniKuchukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, mpaka Rais akutangazie! Mna visa vingi ninyi watu!!
Kuchukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, mpaka Rais akutangazie! Mna visa vingi ninyi watu!!
Mimi naweza kuchukua sawa vipi kuhusu wanaokaa vijijiniUna maanisha ni ktk hili!? Atangaze vipi ili uelewe kuwa alishatangaza hadharani? Hicho kichwa chako i see!?
Pia kuna mambo mengine kama ya kuvaa barakoa kwenye public au kupunguza misongamano kwenye vyombo vya usafiri, kuweka sanitizers nk hivyo haviwezi kufanyika sawaswa bila maelekezo ya serikaliMkuu, ni kweli lugha ya staha ni muhimi. Labda hasira zinawapelekea watu waandike kwa ghadhabu ... nimeona Zimbabwe watu wakishangilia kusikia Mawaziri wamekufa.
Anyway, point yangu ni kuwa Serikali kusema tu kuwa watu wachukue tahadhari bila ya wao kufanya kitu au kutoa maelekezo ya kutosha ni kosa kubwa. Kwanza ilitakiwa viongozi wao wawe mfano kwa kuvaa barakoa na social distancing kwenye hadhara ... kitu ambacho hawafanyi.
Pia kuna mambo mengine kama ya kuvaa barakoa kwenye public au kupunguza misongamano kwenye vyombo vya usafiri, kuweka sanitizers nk hivyo haviwezi kufanyika sawaswa bila maelekezo ya serikali. Kwa mfano misiba kama hii ambayo kila mtu anajua chanzo lakini tunaona hakuna tahadhari yeyote inayochukuliwa na viongozi wenyewe. Mambo yamefanywa just normal as usual!! Hii haitatusaidia.
Wamekuambia kuwa hawaelewi kinachoendelea duniani?Mimi naweza kuchukua sawa vipi kuhusu wanaokaa vijijini
Acha unafikiWamekuambia kuwa hawaelewi kinachoendelea duniani?
Hapa ndo usemi wa JK unapo apply, za kuambiwa changanya na zako....shetani alitaka kumwingiza Yesu kingi..Nafurahi sana napomuona Rais wangu akiijua sana dini kuliko watu wote duniani (ukimtoa Askofu Rasheed) Jinsi anavyomjua sana Mungu kuliko hata Watumishi wa Mungu! Jinsi anavyomjua sana Mungu kuliko wale waliotuletea habari za Mungu! Yaani Rais wangu mpendwa anamjua sana Mungu kuliko hata Bible inayosema "Imeandikwa pia, usimjaribu Mungu wako"!
Hivi anamuona Bwana Yesu ni zuzu aliyemgomea shetani kujitupa chini kutoka juu ya mnara, au Rais wangu anafikiria nini hasa? Mbona Yesu hakujitupa pamoja na bible kusema Mungu atawaamuru malaika wake watamchukua mikononi mwao ili asijikwae?
Asante kwa kuongeza na hilo la uchaguzi. Aache kumdhihaki Mungu, hasira yake itateremka Kama ilivyoyeremka kwa Nebukadnezzar au FaraoUmesahau uporaji wa demokrasia uliofanyika uchaguzi mkuu 2020