kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,547
- 2,384
Kwa sasa chadema inamhitaji mbowe kuliko mbowe anavyouhitaji uenyekiti...mjue safar mbowe alisema anaachia uenyekiti lkn watu wakamuomba amalizie hii mitano kisha baada ya hapo atakuja mwingine...kipindi hiki kaombwa hivyo msimlaumuHilo swali unalomuuliza Tindo sio gumu kiviile!; Mbowe angekuwa naye ni muumini wa demokrasia anayeruhusu kupingwa ungeona wengi. Tatizo uko mtu ukionyesha nia tu, ujue unanyang’anywa sahani na mlo ndio basi. Na kwenye siasa watu wapo ili pia wale sio kutufurahisha sisi tu.
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani lakini ktk mazingira yaliyokuwepo wakati wa uchaguzi wao unafikiri ni mtu gani ndani ya Chadema ambaye angeweza kuziba nafasi ya Mbowe.
Kwa huu mkakati wa kufikiana bei na udhaifu walionao watu wengi wa kupenda kuganga njaa ni nani ambaye angepewa uwenyekiti na astahimili vitisho hivi vingi vya Magufuli?
Tofauti na huyo Mbowe ambaye mnamnanga leo ni Lissu tu ndio angeweza kujaza hiyo nafasi ipasavyo lkn kwa bahati mbaya hayupo ila wengine wangejaribu lkn wangefika pahali wangesalimu tu amri kwa udikteta. Believe me.
Tanzania ilipo unafikiri CCM inastahili Kuongoza nchi?
Ccm kwa sasa imechokwa sana na watanzania, haifai kuendelea kuongoza
Ndio akili zao zinavyowatuma.TISS had nothing to do with Lowasa crossing over to Chadema in 2015. FACT.
Tanzanians, stop being myopic. msipende kumeza kila kitupwacho vinywani mwenu.
nina uhakika kuna mtu mwingine atakuja kuibuka 2 or 3 years later kutaka kutuaminisha eti CCM kutumia makapi 2020 ilikuwa ni mpango wa TISS kuwafanya Chadema wawe offguard, blah blah blah.... na watu wataamini. nonsense!
wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Hiyo mifano ya marais uliyonipa kuthibitisha hoja yako ni sahihi, naipinga; wengi wa hao uliowataja walifanyiwa visa na mataifa ya nje wakaondolewa madarakani.Naheshimu mawazo yako, sina tatizo lolote na unaloamini na unayemuamini. Kwanza kabisa sina hofu yoyote na mashambulizi, bali mashambulizi ya makosa ya kibinadamu hayatoi picha nzuri. Huenda ww unaamini katika mtu, wakati mimi naamini katika taasisi, hilo sio kosa lako ni kosa langu.
Sasa twende pamoja na hapa sikulazimishi kuamini/kukubali bali ndio uhalisia. Viongozi wote wa kuchaguliwa hufanya vyema ndani ya miaka 10, au 15. Lakini ni nadra kiongozi kuzidi miaka 15 akiwa madarakani, tena nafasi moja ya uongozi akafanya vizuri. Wengi hujikuta ubora wao umepungua, au huongoza kwa ubora hafifu na mizengwe kibao. Mfano wa viongozi waliokaa madarakani zaidi ya miaka 15, matatizo na mizengwe kuanza,
Mifano hiyo michache hapo juu inabeba hoja zangu. Sasa tuje kwa Mbowe. Ubora wa Mbowe ukiangalia vizuri ulikuwa ni ndani ya miaka kumi ambapo cdm ilikuwa kwa kasi, na miaka mitano kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa bora kabisa,lakini ilipaswa kuwa kilele bila kujali kama cdm ingekamata dola au la. Kosa la kwanza dhahiri kabisa, unapokuwa na chama imara kisha ukachukua mgombea wa kuokoteza, miezi michache kabla ya uchaguzi tena kwa nafasi ya urais, utakuwa mwendawazimu wa hali ya juu kushabikia kiongozi wa aina hiyo. Halafu unaleta mgombea dhaifu, wala asiyejua itikadi ya chama, wala kuziishi falsafa za chama. Kisha mgombea huyo wa kuokoteza, anarudi huko anakoamini!
- Nyerere
- Mugabe
- Ghaddafi
- Moi
- Paulo Biya
- Museveni
- Hosin Mubaraka
- Fidel Castro nk
Sasa hivi chaguzi zote zinahujumiwa waziwazi wala hatuoni hatua zozote za maana, hata kwenda mahakamani tu. Viongozi wengi hasa waliookotezwa dakika za majeruhi uchaguzi wa 2015 ndio wamerejea ccm, kiongozi huoni kuwa ni sahihi kujiuzulu? Yaani lifanyike kosa gani ndio kiongozi awajibike? Isitoshe kama ni kukaa madarakani kashakaa miaka 15, anaongeza mingine ya nini wakati taasisi ina mivutano isiyo na afya kwa chama? Wengi wetu hatuamini kwenye viongozi wanaokaa madarakani muda mrefu, kwa hili la Mbowe kwanini tukwame? Hizo tuhuma dhidi ya Mbowe, huenda zote sio za kweli bali ni siasa chafu, ila utakuwa punguani kuamini kuwa zote ni za uongo. Sina shaka na ninachokisema, kama unaamini katika watu, mimi siamini kabisa katika mtu imara, bali naamini katika taasisi imara.
Hiyo mifano ya marais uliyonipa kuthibitisha hoja yako ni sahihi naipinga; wengi wa hao uliowataja walifanyiwa visa na mataifa ya nje wakaondolewa madarakani.
Suala la chaguzi kuhujumiwa hakuna asiejua taasisi za hii nchi zimewekwa mfukoni na CCM, anzia bunge mpaka mahakama, wakati mwingine kwenda mahakamani ni sawa na kupoteza rasilimali.
Kinara wa MAUWAJI.hivi yule mbwa hakujua kama kuna kufa au wanahisigi wapo juu ya kifo.Usilegeze sauti hapa! Kinara wa mipango yote ya kumnunua na kupanga vurugu kazikwa juzi na hakuna aliyemkaimisha nafasi yake! Au hukumwona mwenyekiti alivyomlilia wakati wa kuagwa dodoma?
Kwa kifupi ccm shughuli hakuna imebaki yatima!
Na Mbowe anakwenda kuibuka shujaa October!
Hii mizengwe unayoizungumzia ni ipi? hii ambayo umeiita siasa chafu kutoka nje na wale wanaohama uliyokiri kuiogopa au kuna mingine?!Kama ulinifuatilia vizuri, nimesema kiongozi akikaa madarakani zaidi ya miaka 15, huanza kuongoza kwa mizengwe, au ubora duni. Ilikuwa ni juu yako kuchambua yupi aliendelea kukaa madarakani kwa mizengwe, na yupi alioongoza kwa ubora hafifu.
Uko sahihi kabisa kuhusu kwenda mahakamani ni kupoteza muda na hilo nalifahamu. Kama huendi mahakamani na wala huwezi kuitisha nguvu ya umma, huo ubora wako uko kwenye angle ipi?
Naamini kabisa kuwa hilo linawezekana 100% maana watu wana imani na uongozi wa cdm.Hilo la ccm kuchokwa na wananchi hilo halina mjadala, na hata wao wanafahamu. Je unapata picha gani cdm inayoaminiwa kwenda kumchukua mwanaccm iliyochokwa kuja kuwa kiongozi wao?
Vipi Kama mmefanikiwa mamluki wenu kina mwambe,sumaye wawe wenyekiti si chama kingeshakufa.Siku wanachama wakimchoka ataachia, kwann ccm ndio wawe wamemchoka na sio wanachama wa chama chakeNilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na hata mleta uzi nadhani anaweza kushangaa kidogo na hiki nilichoandika. Nimeandika ambacho sina shaka nacho. Sina tatizo na mchango mkubwa wa Mbowe kwenye ujenzi wa cdm na hapa cdm alipoifikisha. Ila taka usitake Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya miaka 15. Cdm ni taasisi na sio Mbowe, kama unaishi kwenye zama za kusujudia watu, huko tulishatoka.
Kinara wa MAUWAJI.hivi yule mbwa hakujua kama kuna kufa au wanahisigi wapo juu ya kifo.
Alimwambia kiongozi mstaafu aliyetaka uenyekiti ..SUMU HAIONJWI sijui alikuwa na maana gani huyo mwenye kigoda
Nimekuelewa Mkuu. Maana wanafanya mambo utafikili wataishi mileleDaima ni kuwa muuwaji huwa ameondolewa uwezo wa kawaida wa kibinadamu
Hiyo mifano ya marais uliyonipa kuthibitisha hoja yako ni sahihi naipinga; wengi wa hao uliowataja walifanyiwa visa na mataifa ya nje wakaondolewa madarakani.
Suala la chaguzi kuhujumiwa hakuna asiejua taasisi za hii nchi zimewekwa mfukoni na CCM, anzia bunge mpaka mahakama, wakati mwingine kwenda mahakamani ni sawa na kupoteza rasilimali.
Umeegemeza lawama zako kwenye mgombea wa kuokoteza, huyo mgombeza wa kuokoteza alipata kura milioni 6!, na hatuwezi mpaka leo kuamini kama kweli Magufuli alishinda ule uchaguzi kihalali hasa ukizingatia uwepo wa hii tume ya uchaguzi kwenye kuibeba CCM, kwahiyo lawama zako kwa Lowassa nazo kwangu hazina msingi, umeangalia tu kwasababu Lowassa "alishindwa" je angeshinda ungesema unachosema?!
Unasema wengi mnaamini, sijui kwanini unawasemea wengine, hebu niambie ni taasisi gani isiyo na mivutano? au wewe unataka akiwepo kiongozi fulani CDM awe malaika wa kubadilisha mpaka tabia za watu?!
Kule juu ulishaonesha wewe ni muoga wa siasa chafu, na hata hivi unavyolazimisha Mbowe aondoke madarakani ni kwasababu unaogopa hizo siasa chafu, but nikwambie, CDM haichaguliwi viongozi na watu wa nje, inajichagulia viongozi wake yenyewe, na Mbowe hakujiweka pale, amewekwa na waliomchagua, sasa usimlaumu tena Mbowe, walaumu wale waliomchagua.
Na ukisema huamini watu unaamini taasisi, sijui kuna taasisi gani isiyoundwa na watu!.
Ndio umwambie na tindo ajue hilo.Sisi ndiyo wana cdm tulio mpigia kura pale mlimani city ndio tunatakiwa tulaumiwe na siyo kulaumiwa mh Mbowe.
Uko sawa kabisa kwenye maelezo yako ila nadhani swala lipo palepale, kwa uzoefu wako unadhani nani au akina nani wanafaa kuiongoza CDM badala ya Mbowe.Wapo wengi sana, kama cdm haina mtu wa kuweza kuwa mwenyekiti nje ya Mbowe, basi hiyo sio taasisi, bali ni kikundi cha watu walio kwenye siasa. Na wala usithubutu kusema tena nani angestahili kuwa mwenyekiti. Chama kina miaka 28 sasa, kisiwe na uwezo wa mtu mwingine kuwa mwenyekiti zaidi ya mtu mmoja!?
Ajabu kubwa baada ya kujenga kwako unakolala watu wanakuona umemshupalia jirani!Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.