Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Halafu huyu unaemuita mpumbavu amepigania rasilimali za nchi hii tangu awamu ya mkapa. Lakini genge ndani ya CCM wametufikisha hapa

Pamoja na Hayo, sioni Upinzani madhubuti kututoa hapa tulipo, Wapinzani wa nchi hii wamekuwa cowards tangu ile siku wamempiga chini Dr Slaa na kusubmit Chama kwa Edward Lowasa.
 
Na katika gesi alichelewa, akakuta maji yameishamwagika.

Halafu unakuta kuna mpumbavu anajisikia vibaya kisa magufuli haongei kiingereza fasaha[emoji16][emoji16][emoji16], hapa ndio utajua kila binaadam ana kipaumbele chake.
 
And when Kenya cancels JKIA greenfield for almost related reasons, mnafungua thread kumi hapa kulia failed state. 😂 😂 😂
The same way Bagamoyo would have been an overkill in terms of capacity, is the same way Greenfield would have been.
u r a fool to compare greenfield terminal to Bagamoyo port no single cent has been paid to cancel the deal
 
Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!

Ndipo niliposema tatizo letu ni katiba inayowafanya kuwa mamiunguwatu wasiopingwa.
sasa kama angebaki na angegoma, angebadilisha nini?
 
u r a fool to compare greenfield terminal to Bagamoyo port no single cent has been paid to cancel the deal
I've watched the video.
''Bilioni mia moja na kumi na tano, waliolipwa kule Bagamoyo..'' Magufuli.

Also, paying to cancel the JKIA contract was the cheaper option than proceeding.
 
I've watched the video.
''Bilioni mia moja na kumi na tano, waliolipwa kule Bagamoyo..'' Magufuli.

Also, paying to cancel the JKIA contract was the cheaper option than proceeding.
The compensated land belongs to the government right now! Do u want me to show u how much KAA paid in compensation as a result of cancelling Greenfield Terminal?

Mkuu jamaa amekuuliza nani mwenye dhamana ya kulinda rasirimali za nchi?
Nafikiri kuwa mzalendo ni pamoja na kuweka misingi imara itakayozuia mambo mabaya yasitokee siku za usoni, sasa misingi ni pamoja na kubadili katiba na baadhi ya sheria ili ziweze kuilinda nchi kila penye mwanya wa kutuingiza kwenye shida.. Huwezi kuwa mzalendo au kujiita mzalendo halafu ukashindwa kuweka misingi imara ya siku za usoni.
Unauhakika gani kama Rais hata badilisha katiba kabla hajamaliza muda wake?

Kuna uozo mwingi ambao ulitakiwa kusafishwa kwanza, nchi ilikuwa imeoza, katiba kama katiba siyo muarobaini wa kila kitu. Kuna mambo mengi aliyokwisha ya fanya kama kutengenza sheria mpya za maliasilia (madini, ardhi, anga na maji), amerudisha mashirika ya umma yaliyokufa, amezuia wizi wizi wa hovyo n.k. Yeye siyo mjinga afanya yote hayo halafu aje mtu mwingine aharibu, lazima atatengeneza mfumo wa kuzuia hayo.
 
Huo ujinga wa kwamba rais ndio mwenye dhamana ya kufanya jambo kubwa la nchi ndio hapo kama nchi tumejikuta tunaendeshwa kwa utashi wa rais, akiamua kutupiga anatupiga kisha genge lake linamtetea. Sisi tunaoamini kwenye nguvu za mtu tunaamini mifumo ndio sahihi kwa kuendesha nchi kwani mustakabali wa nchi hautapimwa kwa utashi wa rais.
Unakariri sana wewe kuhusu mifumo.

Mifumo inaleta maana kama watu wanatabia za kufuata taratibu, watanzania tulizoeshwa kuvunja sheria na kufanya mambo kiholela, angalia tuu barabarani ambapo tuna mifumo mizuri ya kuongozea magari lakini watu hawafuati sheria. Madereva wanapita kwenye taa nyekundu, hawasimami kwenye alama za pundamilia kupisha watembea kwa miguu, sasa huoni kuwa tabia zetu zinatakiwa kubadilishwa kwanza?
 
The compensated land belongs to the government right now! Do u want me to show u how much KAA paid in compensation as a result of cancelling Greenfield Terminal?

Small price to pay for cancelling a contract. Even when football managers are fired, they are paid as per terms of their contract.
So, what will your government do with that land. Clearly Bagamoyo will not be constructed in the next 100 years. Just another wasted money.
 
Wewe unafikiri Bagamoyo ni kama Lamu! Bagamoyo its 1hr drive from Dar. Watu weekend tuna enda kula bata, its a tourist destination. Kuna Superb beaches, luxury hotels, real estate is booming. Kuna viwanda e.g Bagamoyo sugar, Bagamoyo wine e.t.c. Bila kusahau kuna vyuo vikuu. Hiyo ardhi serikali ikisema inipangia matumizi mapya na kuiuza itapata faida mara dufu.
 
halafu kale kashotii DHAIFU pale bungeni muongoza kijiwe kile akasikika akiishangaa serikali awamu ya 5 kusitisha mradi huo...pamoja na mawenge ya JPM kwa hili nakupa tano!.
 
Ameongea kwa uchungu mwingi hadi nimemhurumia mzee wa watu, sio kwa wawekezaji, sio kwa Watanzania, kila mtu mpigaji. Makajanja wa Dar walikwenda Bagamoyo wakatia kapuni mabilioni ya hela na kuwaacha wazawa na wakazi wa Bagamoyo mikono mitupu, nao wawekezaji wanaonekana kuja na masharti ya kiajabu ajabu.

Lakini tatizo hamsemi kimoja mueleweke nini sababu haswa za kusitishaa huo mradi, maana hapa rais amesema mengi ambayo hayajawahi kutajwa kati ya yote ambayo huwa mnayasema, halafu kama kweli hajaongeza chumvi,

Niliwahi kukupa jibu hili kwenye mada ya ndugu yako hapa #30. Usichukulie watu poa.

Screenshot_2019-06-10 Tanzania The one man show country - JamiiForums(2).png

then ina maana rais Kikwete alikua anairubuni nchi yenu, kama kweli Kikwete alikubaliana na yote hayo yaliyotajwa humo, aisei nitamshangaa sana huyo rais wenu wa zamani, alikua ameipokeza nchi kwa watu mchana peupe.
Japo pia ni vigumu kuamini ukweli bila kuskliza upande wa pili, maana kila siku tunaskia ya nyie, hatujaskia naye muwekezaji kama kweli alikua na masharti kama hayo ya kuikoloni na kuifilisi nchi ya Tanzania.

Niliwahi kukujibu swali lako hapa #36

Screenshot_2019-06-10 Tanzania ya sitisha ujenzi wa bandari kubwa Africa , Bagamoyo port - Jam...png
 
Niliwahi kukupa jibu hili kwenye mada ya ndugu yako hapa #30. Usichukulie watu poa.

View attachment 1124192

Niliwahi kukujibu swali lako hapa #36

View attachment 1124193

Ndio maana nikasema kuna moja kati haya mambo mawili
- Aidha muwekezaji amewekewa figisu, iwe kuna vitu mnaongeza tu ili kumkomoa, bora naye akapewa fursa azungumze na wana habari.
- Na kama ni kweli hayo masharti yalikua yamekubaliwa, basi Kikwete ni mtu asiyefaa hata kuongoza kama mjumbe wa nyumba kumi au kiogozi wa kata, maana hana huruma na nchi yake wala hata punje ya uzalendo, na pia CCM na uongozi wake wote ni hatari kubwa sana kwa nchi yenu, kwa tamaa yao walikua tayari kuiweka nchi rehani.
Maana haiwezekani ukatia saini mkataba unaosema bandari zote ulizonazo zisiendelezwe, hiyo yote kwa ajili ya bandari mpya kubwa ambayo hutakua na mamlaka nayo kwa miaka yote hiyo, hivyo humo watakua na ruhusa ya kufanya yao bila kukuhusisha, watapitisha chochote hum bila ya uhusika wa serikali ya Tanzania, hayo ni maamuzi ya kuifilisi nchi ambayo yenyewe tayari ni maskini.
Ni maamuzi ambayo hata sidhani kama enzi za ukoloni mababu zetu wangeyakubali pamoja na kwamba hawakua na elimu wala ujuzi. Waliohusika kwenye maamuzi ya kihivyo wote wanafaa wakusanywe na kushtakiwa uhaini.

Tatizo kubwa nchi yenu hiyo mumeingia kwenye ubepari kichwa nje nje bila hata kujua mfumo wenyewe unaendeshwa vipi, nyote mumekua na tamaa za kiajabu ajabu, hebu sikiliza hiyo hotuba ya rais, kwamba hata waliofidiwa kwenye ardhi ya Bagamoyo walikua makajanja wa Dar, sio wakazi wa Bagamoyo.
 
Bila kutuonyesha mkataba uliokataliwa hata akija mungu siamini haya maneno , watuletee mkataba , na tuone basi hata bungeni uende hamna kitu mnatulisha sana matango pori
Hata ukioneshwa bado hautakubali mpaka uende China ukaonane na Mmiliki wa hiyo Kampuni watu kama Nyie mpo tangu kuumbwa kwa Ulimwengu sio ajabu sana!

Kuna kisa cha Maskini Lazaro na Tajiri, kasome huenda utaelewa..
 
Ataletewa mkataba aseme ni feki.
 
Ndio maana nikasema kuna moja kati haya mambo mawili
- Aidha muwekezaji amewekewa figisu, iwe kuna vitu mnaongeza tu ili kumkomoa, bora naye akapewa fursa azungumze na wana habari.
- Na kama ni kweli hayo masharti yalikua yamekubaliwa, basi Kikwete ni mtu asiyefaa hata kuongoza kama mjumbe wa nyumba kumi au kiogozi wa kata, maana hana huruma na nchi yake wala hata punje ya uzalendo, na pia CCM na uongozi wake wote ni hatari kubwa sana kwa nchi yenu, kwa tamaa yao walikua tayari kuiweka nchi rehani.
Maana haiwezekani ukatia saini mkataba unaosema bandari zote ulizonazo zisiendelezwe, hiyo yote kwa ajili ya bandari mpya kubwa ambayo hutakua na mamlaka nayo kwa miaka yote hiyo, hivyo humo watakua na ruhusa ya kufanya yao bila kukuhusisha, watapitisha chochote hum bila ya uhusika wa serikali ya Tanzania, hayo ni maamuzi ya kuifilisi nchi ambayo yenyewe tayari ni maskini.
Ni maamuzi ambayo hata sidhani kama enzi za ukoloni mababu zetu wangeyakubali pamoja na kwamba hawakua na elimu wala ujuzi. Waliohusika kwenye maamuzi ya kihivyo wote wanafaa wakusanywe na kushtakiwa uhaini.

Tatizo kubwa nchi yenu hiyo mumeingia kwenye ubepari kichwa nje nje bila hata kujua mfumo wenyewe unaendeshwa vipi, nyote mumekua na tamaa za kiajabu ajabu, hebu sikiliza hiyo hotuba ya rais, kwamba hata waliofidiwa kwenye ardhi ya Bagamoyo walikua makajanja wa Dar, sio wakazi wa Bagamoyo.
Kwanza yakupasa uelewe bagamoyo ni homeland kwa huyo jk, hivyo chochote kinawezekana kabla hujaanza kuumiza kichwa sana.
 
Hakuna kuchelewa hivyo ni visingizio kwani mwizi akikuibia redio yako na kufanikiwa kutoka nayo nje ya nyumba yako basi una haki na hiyo redio hapo nitamdharau magu akilifumbia macho swala LA gesi na mafuta
 
Back
Top Bottom