Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Akashinde magoli ya mdomo!Waziri huyo... Michezo, habari na mawasiliano. Ile ya Mwakyembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akashinde magoli ya mdomo!Waziri huyo... Michezo, habari na mawasiliano. Ile ya Mwakyembe
Anaweza kuendelea kuishikilia kwani umesahau Nape alikuwa katibu muenezi na bado alikuwa mbunge kipindi cha kikweteMakonda huenda akachukua nafasi ya Polepole ndani ya chama cha makanjanja.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Nilitegema hii nafasi atapewa Hamisi Mwinjuma, Mwana FA. Kwakuwa kama kusoma kasoma, na alikuwa kwenye mfumo huo huko Basata na ni msanii pia
Sijui Pascal Mayalla anakwama wapi huyu kaka yangu. Au kuwa team Lowassa enzi zile kumemponza ?Aisee, na mimi ngoja nianze kusifu na kuabudu maana sasa hivi ni mtaji tosha sema nimechelewa kwakweli
Wanakula cake bila furaha.Sitaki aina hiyo ya maisha.Nikikumbuka kuanzia bunge la katiba. Mara kwenye serikali ya JPM alivyobadilika. Unafki unalipa. Hivi nyie mnaolalamika hamna kazi mbona fursa zipo pale Lumumba. Au hamna number ya Magufuli niwape ????Hongera Polepole ukale keki ya taifa waziri wa utalii na maliasili.
Sasa kuliko kuwa jobless si bora wale keki ya taifa ?Wewe hautaki,wenzako they are dying for.Wanakula cake bila furaha.Sitaki aina hiyo ya maisha.
Hapo chura kapigwa teke!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bw. Humphrey Polepole ni Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bi. Riziki Said Lulida kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 1637284
Nilitegema hii nafasi atapewa Hamisi Mwinjuma, Mwana FA. Kwakuwa kama kusoma kasoma, na alikuwa kwenye mfumo huo huko Basata na ni msanii pia
Wameongezs washangiliaji na wagonga meza.Viti maalum wanaongezeka sasa.
Avumilie ila kuna wengine wanapuuziwa kma yule mwenye magazeti hata jina lake nimelisahauSijui Pascal Mayalla anakwama wapi huyu kaka yangu. Au kuwa team Lowassa enzi zile kumemponza ?
Lakini kasoma kama Juliana Shonza aliweza kuwa naibu mwana FA uwaziri atauwezaKwenye hiyo Wizara muziki ni sehemu tu, kuna mengi zaidi, kuwa mwanamuziki siyo kila kitu, ...
Hawana furaha.Nakuhakikishia kuwa wanatafuta pa kukimbilia wanakosa!Sasa kuliko kuwa jobless si bora wale keki ya taifa ?Wewe hautaki,wenzako they are dying for.
Chama hakijasaidiwa na Polepole, bali madaraka ya rais yanayotumika vibaya ndio yanayokibeba chama.Yes, kakisaidia chama na kwa kuwa huu ndiyo muhula wa mwisho wa kwa Rais inabidi apewe shavu - si yeye tu kwa uzoefu wengine watafuata