Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mleta mada anao ujumbe uliojificha, nimeutambua ndio maana maoni yangu yapo hivyo kama ulivyoyasoma.Mkuu katika hili umesoma vizuri? Au mimi kuna sentensi sikuziona? Sijaona akizungumzia suala la kanisa kuwa karibu na msikiti. Hii ipo hata Daslama pale Magomeni ambapo upande wa pili kuna kanisa. Nilichokiona anzungumzia Magufuli, rais wa jamhuri, kuwaombea waislamu mchango wa kujenga msikiti. Maombi yenyewe yaliyofanywa kwa wakristo ndani au katika maeneo ya nyumba yao ya ibada na zaidi wakati huu tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Mi naona rais hajakosea kitu maana anapofanya harambee za ghafla iwe kumsaidia kwa mfano yule mama kilema pale ubungo flyover kila msaidizi wake anachangia. Akichangisha kanisani wote wasaidizi wake bila kujali dini wanatoa. Kama rais amejihusisha kujengwa kanisa eneo la ikulu hivyohivyo amejihusisha kuchangisha kwa msikiti wa eneo la ikulu. Utamaduni wa watanzania kuchangiana kwa ujenzi nyumba za ibada umeanza siku nyingi na hii ni moja ya sifa za watanzania.
Kilema[emoji3582]Mi naona rais hajakosea kitu maana anapofanya harambee za ghafla iwe kumsaidia kwa mfano yule mama kilema pale ubungo flyover kila msaidizi wake anachangia. Akichangisha kanisani wote wasaidizi wake bila kujali dini wanatoa. Kama rais amejihusisha kujengwa kanisa eneo la ikulu hivyohivyo amejihusisha kuchangisha kwa msikiti wa eneo la ikulu. Utamaduni wa watanzania kuchangiana kwa ujenzi nyumba za ibada umeanza siku nyingi na hii ni moja ya sifa za watanzania.
Huwezi kumuona hapa akipingana na boss wake.Mkuu FaizaFoxy embu jitokeze uongolee hili suala
Ukisoma between lines - mwandishi - Ana chuki isiyopimika dhidi ya wakatoliki.
Mwandishi anaumia sana kumuona Rais anatoa sadaka kanisani.
Hili la kuchangiana si hoja yake ya msingi. Ila imempa upenyo tu kuventi chuki yake dhidi ya wakatoliki.
Rais ni kiongozi wa nchi. Anaongoza wakristo, waislam na hata wasio na dini.
Ana jukumu la kuwaunganisha wote waishi kindugu, kuthaminiana, kuheshimiana na kusaidiana.
Mwandishi asingetumia chuki yake dhidi ya ukatoliki angeweza kuiona dhamira njema ya Rais kutuunganisha na kutufanya tuishi kitanzania - tukipendana na kushirikiana bila kujali tofauti zetu kiimani, kikabila nk.
Sisi ni WATANZANIA na ni NDUGU.
Rais angeitisha harambee msikitini kisha angalia rafiki zake waislam na wasio waislam nakutumia platform ya waislam(jukwaa la waislam) hapo angekuwa sahihiNimesoma hadi mwisho sijaruka kipengele chochote, japo sikujua kinachoendelea lakini umeelezea vizuri nikapata mwanga,
Binafsi nakazia kwa msumari yote uliyoyaandika, Dini isichanganywe na Siasa.
Yesu alitutaka tumuahidi kwamba arudipo mara ya pili aikute amani duniani, ujenzi wa nyumba za ibada ni sehemu ya kuitengeneza amani!Sasa John, imagine wakiristo waombwe kanisani kujenga nyumba ya ibada ya "wapagani", huoni kuwa hilo nalo pia ni kuwakwaza wakiristo?
Yani mingi sana mimi binafsi nimechangia, kuna msikiti Muhimbili, Kijitonyama Masjid Kuba, Mwananyamala kwa mama Zakaria, Mwenge kijijini huo nilichangia pesa ya harambee.Msikiti upi hapa nchini ulijengwa kwa michango ya wakiristo ukiachilia mbali huu ambao Magufuli anataka kiki za kisiasa?
Mi naona rais hajakosea kitu maana anapofanya harambee za ghafla iwe kumsaidia kwa mfano yule mama kilema pale ubungo flyover kila msaidizi wake anachangia. Akichangisha kanisani wote wasaidizi wake bila kujali dini wanatoa. Kama rais amejihusisha kujengwa kanisa eneo la ikulu hivyohivyo amejihusisha kuchangisha kwa msikiti wa eneo la ikulu. Utamaduni wa watanzania kuchangiana kwa ujenzi nyumba za ibada umeanza siku nyingi na hii ni moja ya sifa za watanzania.
Yani mingi sana mimi binafsi nimechangia, kuna msikiti Muhimbili, Kijitonyama Masjid Kuba, Mwananyamala kwa mama Zakaria, Mwenge kijijini huo nilichangia pesa ya harambee.
Bukoba mjini hamgembe huu sijui kama ulijengwa tayari, maana eneo walilotaka kujenga lilikuwa na migogoro.
Kunavki msikiti Bunju B kule Mbatia aliuza viwanja nilichangia.
Hahaha ukiwa unaswali hiyo misikiti kumbuka nami niliichangia.
Wenye dini yao wala hawana tatizo na hilo suala la michango. Nchi yetu sote hii na wala sio mara ya kwanza kuchangiana ujenzi wa makanisa na misikiti. Tatizo kila jambo linachanganywa na siasa.Msaidizi wake ni Alhaj na kiubinadamu anajisikia vibaya kuwa na waislam kadhaa kanisani halafu wasiwe na msikiti katika eneo lao la kazi.
Samia Suluhu, Kassim Majaliwa na wengine wasaidizi wa karibu ni waislam hivyo mkumbuke umuhimu wao kwake kimaisha.
Msiongozwe na chuki mpaka mkapoteza uwezo wa kuyatafakari masuala ya kawaida kabisa ya kiubinadamu.
Hapo Chamwino ni sehemu ya Dodoma na ni makao makuu kutakuwa na ongezeko la waislam miaka ijayo.
Ikulu kuna kanisa?We mtoa post umekosea sana na udini unakusumbua,nataka tu kukukumbusha kwamba Rais ni kiongozi wa nchi na nchi haina dini
Hahaha wewe unatafuta vita sasa, mwisho utaomba na cheque number ya mchango wangu.Harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti mliifanyia kanisa gani na ilisimamiwa na padri au baba askogu gani?
Sidhani kama utakaa upate akili kichwani ktk maisha yako.