Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mleta mada anao ujumbe uliojificha, nimeutambua ndio maana maoni yangu yapo hivyo kama ulivyoyasoma.Mkuu katika hili umesoma vizuri? Au mimi kuna sentensi sikuziona? Sijaona akizungumzia suala la kanisa kuwa karibu na msikiti. Hii ipo hata Daslama pale Magomeni ambapo upande wa pili kuna kanisa. Nilichokiona anzungumzia Magufuli, rais wa jamhuri, kuwaombea waislamu mchango wa kujenga msikiti. Maombi yenyewe yaliyofanywa kwa wakristo ndani au katika maeneo ya nyumba yao ya ibada na zaidi wakati huu tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.