Wewe na Lissu tuuu! Lissu ndiyo anaweweseka na Rais Magufuli haipiti siku bila kumtaja! Hata wewe kila kwenye thread humu JF lazima umtaje hata kama thread haihusiani na siasa. Amewanyoosha kwelikweli na bado lala salama 2020 - 2025 ufisadi wenu mpaka mkome!Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Unajisikiaje pale uliyetaka kumuua yupo hai anachoma kama [emoji382][emoji382][emoji382] .unaweza kukimbia uvunjike miguu.hivi sasa kajisalimisha kanisani maana hajui anapambana na nani.Wewe na Lissu tuuu! Lissu ndiyo anaweweseka na Rais Magufuli haipiti siku bila kumtaja! Hata wewe kila kwenye thread humu JF lazjma umtaje hata kama thread haihusiani na siasa. Amewanyoosha kwelikweli na bado lala salama 2020 - 2025 ufisadi wenu mpaka mkome!
Na Gwajima alishasema akifanikiwa kuwa kiongozi atahakikisha madrasa zote anazibadili kuwa sunday school.Wavaa kobazi wata sema mbona hatoi hela msikitini
Nani kakuambia Rais atakuwa mUislam 2025?Angalizo:
Kuanzia 2025 rais atakapokuwa Muislam akianza kuzindua misikiti kila mtaa na TBC kumuonesha akiwa msikitini anaswali tusione manaswara mkinyanyua midomo yenu mirefu.
Sasa hivi anakilema cha maisha. Mungu ameamua asife ili aone maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 aliyokuwa anasaliti kwa mabeberu!!Unajisikiaje pale uliyetaka kumuua yupo hai anachoma kama [emoji382][emoji382][emoji382] .unaweza kukimbia uvunjike miguu.hivi sasa kajisalimisha kanisani maana hajui anapambana na nani.
Yupo hai ili ulimwengu ushuhudie namna ya utawala uliofitinika utakavyoanguka. Malipo ni hapa hapa duniani. Mbinguni yanakwenda mahesabu.Sasa hivi anakilema cha maisha. Mungu ameamua asife ili aone maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 aliyokuwa anasaliti kwa mabeberu!!
Amina!Ndiyo tunataka Rais wa namna hii wakuunganisha watz wote. Heko Rais wetu!
Tukutane baada ya tarehe 28/10/2020!Yupo hai ili ulimwengu ushuhudie namna ya utawala uliofitinika utakavyoanguka. Malipo ni hapa hapa duniani. Mbinguni yanakwenda mahesabu.
Anaogopa.tunapoelekea atakua analala kanisani .akimuona mtu yoyote anachechemea anapata mshtuko sana.
sijui kwa nini hata.
Amwogope nani? Wewe au?Anaogopa.tunapoelekea atakua analala kanisani .
Hapa tunaongelea ulimwengu wa kiroho. Hii huwezi kuielewa wewe matagaAmwogope nani? Wewe au?
MUNGU mbariki MagufuliMungu sio mzee mkumba, acheni acheni unafki.
Nani anachechemea bwashee?!!akimuona mtu yoyote anachechemea anapata mshtuko sana.
sijui kwa nini hata.
nani mwingine zaidi ya yule msiyempenda kwasababu amewazidi akili?Nani anachechemea bwashee?!!
Mimi ni Mlei nimeshatuma fax Vatican kuelezea hichi kinachoendelea.KWELI LEO KANISA KATOLIKI LA MITUME LINAJENGA MSIKITI?
Naanza kuamini maneno yaliandikwa Ufunuo 13.
Sasa tuache kulalamika mara tunaonewa mara mfumo kristo kumbe ndo matajiri nchini.Tilimwomba? Waislam ndiyo matajiri nchi hii hawashindwi kujenga makao makuu ya Bakwata hata makubwa kuliko PSPF Twin Tower