Wewe na Lissu tuuu! Lissu ndiyo anaweweseka na Rais Magufuli haipiti siku bila kumtaja! Hata wewe kila kwenye thread humu JF lazima umtaje hata kama thread haihusiani na siasa. Amewanyoosha kwelikweli na bado lala salama 2020 - 2025 ufisadi wenu mpaka mkome!Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.