Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Wewe na Lissu tuuu! Lissu ndiyo anaweweseka na Rais Magufuli haipiti siku bila kumtaja! Hata wewe kila kwenye thread humu JF lazima umtaje hata kama thread haihusiani na siasa. Amewanyoosha kwelikweli na bado lala salama 2020 - 2025 ufisadi wenu mpaka mkome!
 
Wewe na Lissu tuuu! Lissu ndiyo anaweweseka na Rais Magufuli haipiti siku bila kumtaja! Hata wewe kila kwenye thread humu JF lazjma umtaje hata kama thread haihusiani na siasa. Amewanyoosha kwelikweli na bado lala salama 2020 - 2025 ufisadi wenu mpaka mkome!
Unajisikiaje pale uliyetaka kumuua yupo hai anachoma kama [emoji382][emoji382][emoji382] .unaweza kukimbia uvunjike miguu.hivi sasa kajisalimisha kanisani maana hajui anapambana na nani.
 
Unajisikiaje pale uliyetaka kumuua yupo hai anachoma kama [emoji382][emoji382][emoji382] .unaweza kukimbia uvunjike miguu.hivi sasa kajisalimisha kanisani maana hajui anapambana na nani.
Sasa hivi anakilema cha maisha. Mungu ameamua asife ili aone maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 aliyokuwa anasaliti kwa mabeberu!!
 
Sasa hivi anakilema cha maisha. Mungu ameamua asife ili aone maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 aliyokuwa anasaliti kwa mabeberu!!
Yupo hai ili ulimwengu ushuhudie namna ya utawala uliofitinika utakavyoanguka. Malipo ni hapa hapa duniani. Mbinguni yanakwenda mahesabu.
 
KWELI LEO KANISA KATOLIKI LA MITUME LINAJENGA MSIKITI?
Naanza kuamini maneno yaliandikwa Ufunuo 13.
 
Back
Top Bottom