Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

Usanii mtupu, na mashirika haya yana very inadequate capital
 
TPDC mbona umeweka mara 2 mkuu. EWURA hawapo mkuu?
 
Nachosema Serikali haina hisa wala haikuweka hela Nssf, walianzisha mtaji ulikuwa ni michango inakatwa kwa wafanyakazi, investiment zake ndo security za michango yao na pia pension hutokana na mochango na investment returns
Lol, nenda kasome sheria ya Msajili wa Hazina
 
Hii haihusu mashirika tasiyo ya kiserikali nini? NGO's?
 
Hujawahi fanya hizi biashara bora ukae kimya. Tatizo mnachukulia serikali ya haya makampuni tofauti. Chukulieni kama biashara ya kawaida. Chikulieni serikali kama individual investor
Wewe huna chochote kwenye ubongo wako ambacho unaweza kunielimisha. Huna chochote unachokijua wewe ambacho mimi sikijui.
 

60 days from today …. …..​
 
Hizi pesa zote alikomba wakati anaanza urais ni reserves za miaka mingi za hayo mashirika, na kwa kuwa hawezi kulipa analazimisha kuzichukua bila kudaiwa, ujambazi mtupu.
 
Kichekesho ni pale hata taasisi zisizotengeneza faida kama Chuo Cha Usimamizi wa Fedha(IFM) nazo zinatoa gawio. Unaweza kwenda kwenye hizo taasisi ukakuta hata vyoo havina maji.
Ukweli ni kwamba taasisi zote zimelazimishwa. Jiulize NIDA wamefanya biashara gani ?
 
Halafu kwenye kazi ni zero. Ile website yao kupata number hadi makalio yanaota sugu.
Nashangaa mpenz mimi nilipata kitambulisho bureee ingawa ilinibidi nimhonge dada mmoja fweza kidogo nikakipata ndani ya siku mbili nikawapiga vikumbo watu waliopeleka fomu miezi minne kabla ambao hata namba hawakupata hadi leo.
 
Mbona kama vile wanataka kututoa kwenye kijadili mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
Kwanini swala hili lifanyike leo?

Ngashituka!
 
November 24, 2019
Atoa siku 60 gawio la serikali
Hali ya kibiashara na pia kiuongozi ya mashirika ya umma ni mbaya sana Tanzania. Hayo yamedhihiri wakati wa hotuba ya Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli. Amuagiza waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango kuhakikisha viongozi hao wateule wa Rais wanatimiza agizo lake. Jumla ya Trilioni 59 shilingi za kiTanzania zimewekezwa ktk mashirika ya umma 259 amebainisha Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Rais amesisitiza viongozi aliowateua kama wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma na ma- CEO wake watakaoshindwa kuwakilisha gawio stahiki la serikali kutokana na mtaji uliowekezwa na serikali wajiuzulu wenyewe wakishindwa kuwasilisha gawio hilo ndani ya siku sitini (60).

Mh. Rais ameongeza mashirika hayo ya umma zaidi ya 100 wengi wa ma-CEO wao mshahara wao kwa mwezi ni Tshs. 15,000,000 na wanajilipa kwa wakati lakini gawio stahiki la serikali kila mwaka hawaliwakilishi HAZINA wizara ya Fedha.

Mh. Rais ashangazwa kuona mashirika hayo yanayopata hasara yanaweza kununua magari ya kifahari na samani ghali kushindwa kulipa gawio na kushauri ni bora ma-CEO hao wangeachana na matumizi hayo ya kifahari ili kubana matumizi na kuelekeza fedha hizo ktk core-business-activities Strategic, Core and Non-Core Activities: What to outsource for best results? | Intetics itakayosaidia wapate faida na kuwakilisha gawio kwa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…