Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Exactly tumechoka kusikia speech barako zinafanana na titi la mwanamke fulani lililokatatija upande!! Hakuna namna kila mtanzania atatengeneza barakoa yake! Lazima mafundi vyerehani washone!
 
Unawaza utoto mkuu.
Lissu ni maarufu sawa ila hana cha maana kumzidi Magufuli, mi sina chama ila nakwambia bado Magufuli hana mpinzani kwa siasa zetu.
 
Hatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Mleta mada umemuona huyu shetani aliyefika? hawa ndo wanaomvimbisha jamaa kichwa bila kumshauri vyema, hawa ndiyo watakaomkimbia jama akiwa anaitafuta chattle kwa tochi
 
Unawaza utoto mkuu.
Lissu ni maarufu sawa ila hana cha maana kumzidi Magufuli, mi sina chama ila nakwambia bado Magufuli hana mpinzani kwa siasa zetu.
Kwani aliyekuuliza chama chako ni nani? Hivi kwanini unakuwa kwenye lichama hulitaki lakini umekomaa nalo na kila ukiandika hoja yoyote lazima ujisalimishwe kwamba wewe siyo ccm. Tatizi kupenda kukaa bila kujishughulisha najua hapo kinachokutesa ni buku 7
 
Mi nafatilia siasa ila sina chama mkuu.
Niko huru kutoa mawazo wala sipingani na mawazo yako, kila mtu ana mtazamo wake, ukweli ni kwamba Magufuli hana mpinzani maana wapinzani walo legelege sana hawawezi kushindana na Magufuli.

Subiri uchaguzi utaona ukweli wa ninachokwambia.
 
Vipi, tayari mmeshapata tume huru ya uchaguzi. Isije tena muanze kulia lia huko mbele
 
Mjinga tu au unashauri upuuzi kusudi ukifikiri kuna wajinga wataafikiana na ujinga wako.
Nyie ndio wale fisadi watumbuliwa au pengine cheti feki maana ndio walikua wanajidai wasomi kwa vyeti feki. Eti lissu ni mtu wa kutishia nafasi ya magufuli ya urais. Au membe huyu mjivuni anayeringa eti kwenda kula chakula kizuri hotelini na mkewe?
Cheo cha urais sio vazi kuangalia litampendeza nani ndio avishwe. Ni shughuli nzito sio kuwapa nafasi wezi wa mali ya umma na vibaraka wa mabeberu kama lissu.
 
Unaonekana umekunywa faru John angalia tu usije teleza.
 
Membe ni mgombea wa ccm chadema hawana mtu kama huyo au unalazimisha baada ya kubanwa mbavu
 
Lisu hajatiwa hatiani acha kihoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…