Anajua kila kitu mkuu. Mara haongelei masuala yaliyoko Mahakamani, Leo kafukuza mtu kazi kwa kesi iliyoko mahakamani.
Najua watetezi wake watasema hizo alizochukua ni disciplinary action, lakini unamfikisha mtumishi mahakamani kisha unamchukulia hatua za kinidhamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu aisee.😆😆😆😆😆😆 Kumbe Chadema nao wanatetea Watu kam hao. Kiukweli Basi tuuu
Chadema mtafteni Jebra Kambole au Kibatala haraka ili amsaidie huyo jamaa. Jiungeni pia na watetezi wa haki za binaadamu.
[/QUO
Magufuli hajaiingilia uhuru wa mahakama ndio maana akasema akishinda kesi au asishinde. Kwa maneno hayo mahakama iko huru kufanya wajibu wake.
Magufuli ametumia mwevuli wake wa kuwa yeye ndio kiongozi mkuu wa wafanyakazi wote na kwa hilo hakuweza kulivumilia anajua madhara yake kama anadharau ni makubwa.
Kwani dibagula alikua mtumishi wa serikali?Hili siyo tukio la kwanza Nakuwekea kesi ya Dibagula uone how such issues are handled in a law abiding regime
Public interest, umeiona hiyo clause. Ni mahakama tu inayoweza kusema kama alichokifaya Magufuli ni for public interest! Nadhani wewe siyo mwanasheria au ndio unaanza sheria kuzisomaMwambie Mtoa Mada asome kifungu namba 24 cha sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Hii ni unconstitutional... Kweli katiba mpya inahitajika ili kuondokana na hizi sheria za Mkoloni.
Nilisema kashifa za dini zinavyokuwa handled na mahakama, facts of the case are not identical but it shades some light on how to handle such issuesKwani dibagula alikua mtumishi wa serikali?
Mwajiri ameamua kukutema,nenda kachulue tu NSSF yako usepe,
Kumbe hata mfanyakazi wa Serikali akienda kazini akiwa amelewa pombe Mahakama nivigumu kumuhukumu kisheria? Hilo nalo ni somo tuijue sheria.Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.
Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.
Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.
Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
unaweza ukajustify hichi ulichoandika hapaPublic interest, umeiona hiyo clause. Ni mahakama tu inayoweza kusema kama alichokifaya Magufuli ni for public interest! Nadhani wewe siyo mwanasheria au ndio unaanza sheria kuzisoma
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mujibu wa hiyo sheria unazungumziaje uamuzi wa raisi kumfura kazi huyo mtumishi wa umma?Asante mkuu. Hii ni unconstitutional... Kweli katiba mpya inahitajika ili kuondokana na hizi sheria za Mkoloni.
Nimemuona Warioba akidai kuwa tumebafirisha katiba mara tatu. Nafikiri walikuwa wanabadirisha vipengele fulani kwa interest zao. Sehemu kubwa inaekekea ni sheria za Mkoloni. Hata Leo nimeona video Mkuu wa Wilaya anamuweka Afisa elimu ndani bila sababu ya msingi.
Sikupingi moja kwa moja . ila nakukumbusha kabla hutumia Case law kujustify arguments zako unatakiwa uangalie kwanin mahakama ilifikia maamuzi hayo.Nilisema kashifa za dini zinavyokuwa handled na mahakama, facts of the case are not identical but it shades some light on how to handle such issues
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri umekosea waajiliwa wote wa serikali wako chini ya Rais.Technically, Rais hana mamlaka ya kumfukuza kazi mwajiriwa wa serikali .....!!
vile vile kumbuka raisi habanwi na taratibu zozote za kisheria katika kuwawajibisha adabu watumishi wa serikali anaweza kuwaondoa anavyotaka bila kufata taratibu za kisheria soma ibara ya 36 ibara ndogo ya 3 na 4 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Nilisema kashifa za dini zinavyokuwa handled na mahakama, facts of the case are not identical but it shades some light on how to handle such issues
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiepushe na hisia kali! Mauaji ya halaiki Rwanda wanasameheana, sembuse kuchana makaratasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi.kwa mujibu wa hiyo sheria unazungumziaje uamuzi wa raisi kumfura kazi huyo mtumishi wa umma?
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree, I was wrong.Nafikiri umekosea waajiliwa wote wa serikali wako chini ya Rais.