Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Well, kachagua kuwa dikteta uchwara!

Ndio maana anababaika na kuhangaika na walevi wanaochana Quran mpaka anatoa matamko tata!

Kuna disciplinary authorities za watumishi, kuna mahakama, kuna tribunals, kuna administrative quasi judicial bodies, kuna procedures zipo za kufuata!

Mkolomije huyu kakurupuka toka chattle na matamko yake haramu. Kajaa ubishi.KIBURI.

Kwanza, watu wengi hawajali kabisa kwamba yule mwendawazimu amefukuzwa kazi au vinginevyo.

Kinachotia mashaka ni kuona huyu bwana chattle akidhani ana mamlaka yasiyo na mipaka!

He enjoys abusing power! Na anajisikia raha sana kutoa matamko tata!

Sijui ni ugonjwa wa akili?

I can't make sense of this madness!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RTI, Alichokieleza jamaa ni kwa mujibu wa sheria za Utumishi wa umma na mahusiano, na standing order.
Kuna hatua za sheria za kumchukulia huyo Mtumishi ikianza na tume ya uchunguzi,na lazima asikilizwe.
Lakini inapokuja swala la Dini Ni kweli amefanya kosa kwa wakristo muumini hutengwa Hadi akili na kutubu.
Kwa kifupi hili Jambo limechukuliwa kisiasa zaidi kuliko SHERIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There you are.. Then we have to get used to him!
 
Nchi za Kiswahili ukifuata Sheria sana hutafanya maendeleo yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kuwa mtumishi wa uma vinaangaliwa vitu vingi ikiwemo kuheshimu kila mtu bila kujali ni mtu wa imani gani.
Ubaguzi na chuki vinaenda kinyume na utumishi wa uma.
 
Dibagula aliajiriwa na nani,alikua mtumishi?
Utumishi wa Umma una nidham yake,lazima uwe mfano kwa jamii. Kulewa saa za kazi,matusi,ugomvi na kusababisha uvunjifu wa amani ni vitendo vinavyotakiwa kuepukwa sana hasa ukiwa Mtumishi wa UMMA,(nimeweka Umma kwa sababu siyo mambo binafsi,bali ni miiko na maadili ya Utumishi wa UMMA)
Inaweza isiwe kesi mahakamani au ikawa kesi na kushinda mahakamani,ila siyo maadili mema ya kiutumishi.
Sina hakika na Dibagula kule Iringa kama sikosei, kama alikua ni Mtumishi wa Umma au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Ah kila siku tunafanya kazi za balozi wa nyumba kumi.Inasikitisha
 
Fanya citation ya sheria na kanuni za maadili ya watumishi wa umma inayompa rais hayo mamlaka ya kumfukuza mtu kazi kwa kosa hilo alilofanya.

Mwamposa anapata wateja wengi sana wenye mawazo kama yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mtafteni Jebra Kambole au Kibatala haraka ili amsaidie huyo jamaa. Jiungeni pia na watetezi wa haki za binaadamu.
Kwani kuna kosa gani huyo ni mwanachama wa cdm.Kama ndiyo,wanahaki ya kuwatafuta hao waheshimiwa.Kwa nini mnapenda saaana kuonea watu hali katiba na taratibu za nchi zipo zinavunjwa hovyo hovyo tu na wajinga nao wanasema ok.Lets wake up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…