Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sasahivi hatuna dira yaani watu milioni 60 tuna tegemea mtu mmoja siku hiyo ameamkaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni heshima kwa taifa sema taifa sasahivi linategemea akili ya mtu mmoja pekeeKwani hayamaazimisho yalipangwa wakati wa kikwete?
Bado hujapata kuonekana tu na kuitwa kwenye viti virefuSherehe za Uhuru zinamaliza hela tu. Hongera Rais Magufuli kwa kuliona hilo. Hii nchi imepigwa sana enzi za Kikwete kupitia visherehe vya ajabu ajabu.
Kwani vimeisha!Sherehe za Uhuru zinamaliza hela tu. Hongera Rais Magufuli kwa kuliona hilo. Hii nchi imepigwa sana enzi za Kikwete kupitia visherehe vya ajabu ajabu.
Wewe ndo ukae ujiulize kwani ujenzi wa hospital ulianza ujenzi hujui wapi? Pakupata pesa au haikuwa na bajeti au ulianza ujenzi bila bajet.Huyu vipi!? Ndio wale wale wanaosema wanataka maendeleo ya watu siyo vitu! Hivi ni kipi kitendo cha maendeleo - watu kutumia Tshs. 834,742,000/= kwa ajili ya sherehe za uhuru za siku moja au kutumia hizo pesa kujenga miundombinu ya maendeleo kama hiyo hospitalini? Jamani mbona mmevurugikiwa sana hasa baada ya kupigwa kwenye GE ya juzi kiasi hata hamjui nini ni maendeleo na nini ni STAREHE!?
Katika dada kima humu ni huyu janelowassa Yani mpaka huwaga NawaZa nayeye anamahusiano na binadamu au ndo DILDO maana sioni mwanaume wa kumwelewa mawazo yakeKwani hayamaazimisho yalipangwa wakati wa kikwete?
Watoto hawajanyimwa kushuhudia chochote hapo. Wanachosoma darasani ni matukio na michakato ya uhuru na si hizo sherehe na shamrashamra za maadhimisho. Sherehe ni muhimu kweli ila kwa kuwa kiongozi kaona umuhimu zaidi kwenye kitu kingine hakuna nongwa yoyote. Acha nchi ijengwe, sherehe baadae. Maana hata hao watoto wakiugua hawataenda kutibiwa pale Jamhuri na halaiki au matarumbeta! Watapelekwa hospitali ya Uhuru.Uko sahihi kabisa. Jamani sherehe za UHURU sio japo la kisiasa ni jambo la kihistoria. Nyerere na wenziwe walipoteza nguvu nyingi kuutafuta uhuru wa nchi. Duniani sis ndo wa kwanza kubeza tukio hilo. Watawala eti wata save mil 834. Hizo ni sawa na gharama ya V8 3. Watoto wananyimwa haki yao ya kushuhudia wanachokisoma kwenye vitabu kwa vitendo. Wanaharisha kutafuta political mileage au umaarufu wa kisiasa sio kusave gharama. Tunaua historia ya nchi hii. Nyerere uko alipo anasikitishwa na uimla wa namna hii.
Huu nao ni ulimbukeni mwingine unaowatafuna nyie watu. Ni lini rais alitoa hiyo kauli yako hapo chini? Chuki zenu za kipuuzi zisiwafanye kuropoka tu bila msingi. Alichozungumza rais kuhusu hao waliokuwa malaika hapa ulimwenguni kiko wazi kabisa. Acheni kudhalilisha nafsi zenu nyie "wasomi".Kinachoonekana au kujificha kwa huyu jamaa ni Roho mbaya na Uchoyo.
Anajua sherehe za Uhuru zikifanyika watu watalipwa hela za posho kujikimu na yeye hataki!!!
Kama Rais anaweza toa kauli tata kama "....WALE WALIOKUWA WANAPATA MISHAHARA MIKUBWA NITAWASHUSHA WAISHI KAMA MWASHETWANI..." mwisho wa kunukuu.
Tukiwa na serikali moja ndiyo utakuwa muungano. Ikiwa hivyo Magu ataendelea kupokea saluti kibao.Uhuru wa Tanganyika hautakiwi tena kukumbukwa ,kwa vile kuna Tanzania sasa. Siku muhimu hapa ni Ya Muungano tuu.
Hamujui kuwa Nchi inaelekea kwenye serikali Moja?
Sooon muswaada utapelekwa bungeni kuanzisha mchakato wa serikali moja.
Hakuna demokrasia ya kweli. Ni maigizo tu. Ukitoa maoni tofauti unakuwa adui!Inashangaza kuona wapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza lakini hawapendi kusikia mawazo kinzani.......
Kama moyo wako bado unashindwa kuhimili mawazo kinzani kujiita mwanasiasa!!!.....
Hela hauna sherehe waifanyajeSherehe za Uhuru zinamaliza hela tu. Hongera Rais Magufuli kwa kuliona hilo. Hii nchi imepigwa sana enzi za Kikwete kupitia visherehe vya ajabu ajabu.
Sasa nimejua pingapinga wengi hamna taarifa juu ya yale mnayoyapinga. Yaani hata hujui mchakato wa ujenzi ilianzaje unakuja kuleta maneno maneno hapa. Watu kama nyie wa kupuuza tu maana asiyejua haambiwi maana.Wewe ndo ukae ujiulize kwani ujenzi wa hospital ulianza ujenzi hujui wapi? Pakupata pesa au haikuwa na bajeti au ulianza ujenzi bila bajet.
Ukisoma kwa makini mwandishi ajalaumu kwanini pesa ya sherehe ikajenge hospital Ila anaulza?
1: ujenzi ulianza bila bajet?
2: bajet ya hospital hakuwepo?
3:Kama ilikuwepo bajet ya hospital iko wapi?
4:ama Kama ilikuwa haitoshi ndo watoe ufafanuzi.
Wajinga wa jf mpo wengiSherehe za Uhuru zinamaliza hela tu. Hongera Rais Magufuli kwa kuliona hilo. Hii nchi imepigwa sana enzi za Kikwete kupitia visherehe vya ajabu ajabu.