Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

Sasahivi hatuna dira yaani watu milioni 60 tuna tegemea mtu mmoja siku hiyo ameamkaje
 
Uhuru wa Tanganyika hautakiwi tena kukumbukwa ,kwa vile kuna Tanzania sasa. Siku muhimu hapa ni Ya Muungano tuu.
Hamujui kuwa Nchi inaelekea kwenye serikali Moja?
Sooon muswaada utapelekwa bungeni kuanzisha mchakato wa serikali moja.
 
Inashangaza kuona wapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza lakini hawapendi kusikia mawazo kinzani.......

Kama moyo wako bado unashindwa kuhimili mawazo kinzani upo mbali na sifa ya kuwa mwanasiasa!!!.....
 
Kwani izo sherehe zikiadhimishwa au kutokuadhimishwa zinakuongezea au kukupunguzia nn ktk maisha ya mtanzania ambaye haupo ktk kamati ya maandalizi ya hiyo sherehe???
 
Uhuru haukupatikana kwa izo sinema zinazofanywa huko viwanjani tuache kujazana ujinga
 
Wewe ndo ukae ujiulize kwani ujenzi wa hospital ulianza ujenzi hujui wapi? Pakupata pesa au haikuwa na bajeti au ulianza ujenzi bila bajet.

Ukisoma kwa makini mwandishi ajalaumu kwanini pesa ya sherehe ikajenge hospital Ila anaulza?

1: ujenzi ulianza bila bajet?
2: bajet ya hospital hakuwepo?
3:Kama ilikuwepo bajet ya hospital iko wapi?
4:ama Kama ilikuwa haitoshi ndo watoe ufafanuzi.
 
Hivi fedha zimeokolewa au zimebadilishiwa matumizi!
 
Kwani hayamaazimisho yalipangwa wakati wa kikwete?
Katika dada kima humu ni huyu janelowassa Yani mpaka huwaga NawaZa nayeye anamahusiano na binadamu au ndo DILDO maana sioni mwanaume wa kumwelewa mawazo yake
 
Moja wapo ya maamuzi ya ajabu kufanywa na kiongozi yeyote yule duniani ni kupuuza siku muhimu Kama siku ya uhuru wa taifa, hii ni siku inayopewa uzito mkubwa Sana popote pale duniani, sababu ni siku ya kuzaliwa kwa taifa.
 
Watoto hawajanyimwa kushuhudia chochote hapo. Wanachosoma darasani ni matukio na michakato ya uhuru na si hizo sherehe na shamrashamra za maadhimisho. Sherehe ni muhimu kweli ila kwa kuwa kiongozi kaona umuhimu zaidi kwenye kitu kingine hakuna nongwa yoyote. Acha nchi ijengwe, sherehe baadae. Maana hata hao watoto wakiugua hawataenda kutibiwa pale Jamhuri na halaiki au matarumbeta! Watapelekwa hospitali ya Uhuru.
 
Huu nao ni ulimbukeni mwingine unaowatafuna nyie watu. Ni lini rais alitoa hiyo kauli yako hapo chini? Chuki zenu za kipuuzi zisiwafanye kuropoka tu bila msingi. Alichozungumza rais kuhusu hao waliokuwa malaika hapa ulimwenguni kiko wazi kabisa. Acheni kudhalilisha nafsi zenu nyie "wasomi".
 
Uhuru wa Tanganyika hautakiwi tena kukumbukwa ,kwa vile kuna Tanzania sasa. Siku muhimu hapa ni Ya Muungano tuu.
Hamujui kuwa Nchi inaelekea kwenye serikali Moja?
Sooon muswaada utapelekwa bungeni kuanzisha mchakato wa serikali moja.
Tukiwa na serikali moja ndiyo utakuwa muungano. Ikiwa hivyo Magu ataendelea kupokea saluti kibao.
 
Inashangaza kuona wapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza lakini hawapendi kusikia mawazo kinzani.......

Kama moyo wako bado unashindwa kuhimili mawazo kinzani kujiita mwanasiasa!!!.....
Hakuna demokrasia ya kweli. Ni maigizo tu. Ukitoa maoni tofauti unakuwa adui!
 
Sasa nimejua pingapinga wengi hamna taarifa juu ya yale mnayoyapinga. Yaani hata hujui mchakato wa ujenzi ilianzaje unakuja kuleta maneno maneno hapa. Watu kama nyie wa kupuuza tu maana asiyejua haambiwi maana.
 
Mleta mada ulitaka ukae kwenye tv uangalie makomandoo wanapasua tofali, ha ha haipo baba twende na hospitali

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…