Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Najiuliza hivi Clouds Tv ndo imekuwa Tv ya Taifa ambako mkulu anatolea taarifa? Haya mahaba ya JPM kwa clouds yametokana na nini? TBC ii wapi?? Natamani kumsikia pia Mr. Buhohela....
Buholela yupo ikulu.
 
9500000 per year 114,000,000
9500000 per 5 years 570,000,000
9500000 per 10 years 1,140,000,000
HAPA KAZI TU.
Sikia kaka msipanick Mkwere alikuwa analipwa dola 16 000 USD kwa mwezi
 
Wakuu nataka kujua wabunge wanalipwa mshahara,posho ,marupurupu na posho mbali mbali shilingi ngapi?
Posho za vikao wanalipwa shilingi ngapi?
Je hayo wanayolipwa wnakatwa kodi
Hata ukifaham aita kusaidia mkuu,
 
Kwani Lissu na zito ndo waliokutuma umchague Magu, Ulimchagua Magu kwa ahad zake ambozo kwasasa zimekuwa hewa!
 
Kumbuka hana muda wa kufanya mirad mingine kaz yake nikuiongoza mijitu isio elewa mi bish hata kwa vitu vya msingi
Rais kazi yake ni kubwa sana, kama kweli huo ndo mshahara wake ni dharau.
 
9.5m kwa raisi ni mshahara wa kawaida kulingana na kazi yake. Wakurugenzi wengi wanalipwa mara 3 ya huwo mshahara wa raisi
 
Mbunge analipwa milioni kumi na Mbili haiwezekani rais iwe chini hivyo
 
seriously???? au ukitoa na marupu rupu?....au ni hii mnaita sikukuu ya wajinga
 
wabunge nao wataje mishahara yao sio wanatafuta gia ya kusikika kwa watu kuna kipindi magazeti yaliandika wabunge wanalipwa milioni 12 wakaja juu huyo tundu lissu ndio alikuwa anatetea mafao ya milioni 200 akadai tena hazitoshi waache unafiki na waandishi vilaza kwanini wameshindwa kuwauliza mishahara yao
 
Habari hii imekuja siku si mwafaka kabisa tena 01/04/2016. lakini wacha tuvute subira pengine siku nyingine italetwa vizuri ikijumuisha marupurupu ili tujue vizuri kipato chake.
 
Kwanini taarifa hii isitolewe na idara ya mawasiliano ikulu? Kwanini isitolewe na tbc? Kwanini itolewe na clouds?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…