Laki tatu zinamtosha mbona sisi tunaishi?anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Kwani wakati anachukua fomu hakujua hilo!? Au alilazimishwa!? Au alikuwa ana-test zali!Kumbuka hana muda wa kufanya mirad mingine kaz yake nikuiongoza mijitu isio elewa mi bish hata kwa vitu vya msingi
Wewe jamaa ni noma. Unajua nilishasahau kuwa jamaa wanaendelea kutunzwa na kodi za wananchi wakishastaafu. Kweli mishahara midogo kwa marais ni sawa kabisa. Mimi nadhani milioni 5 ni kiasi sawa kabisa.Wakuu wa mashirika wanalishwa na nani?,waki staafu nani anawatunza?.
Inani shangaza kidogo kwanini clouds na sio Tbc? au ndio mambo ya sikukuu.Rais Dk john pombe magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na n gazeti la nipashe kuwa Zito na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi
Wakiwa katika mjadara huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawaskia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9 plus na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Source Clouds 360 Asubhi hii.
Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema mshahara wake ambao yeye ameukuta na ambao analipwa ni Milioni 9 na laki 5. Rais Dkt.Magufuli amelazimika kuyasema hayo wakati wa uchambuzi wa magazeti katika kipindi cha Clouds360. Akizungumza na mtangazaji wa kipindi hicho Hudson Kamoga ameahidi akirudi kutoka likizo yupo tayari kuonyesha nyaraka za malipo ya mshahara wake.
Baada ya kusema mshahara wa juu uwe angalau Milioni 15 kumbe yeye hata Milioni 10 hajafikisha
Kalagabaho Na ujinga wakoSiku ya wajinga bana!
Washauri wa Rais msaidieni Rais kupumzika.Mshaurini ya kuwa wakati wa mapumziko apumzike kweli na hii ni pamoja na kutokusikiliza radio ambazo zitasababisha mood ibadilike.MMsaidieni vitabu vya kusoma ambavyo ni rahisi na vitakavyofanya apumzike.Naamini kuna mtu kamwachia ofisi yeye atulie.Ni ushauri tuRais Dk john pombe magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na n gazeti la nipashe kuwa Zito na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi
Wakiwa katika mjadara huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawaskia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9 plus na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Source Clouds 360 Asubhi hii.
Hauna akili wewe baba yako awe raisi alipwe hiyo hela mtakufa na vijiba miyoni mwenu nyambafu kabisaanakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Kweli wajinga ndio waliwao,rais analipwa kidogo hivyo hata kuliko mkurugenzi wa tanesco, aliyepita yeye ajinadi ni raia namba moja,kweli raia namba moja ana mshahara kiduchu hivyo kuliko hata anaowateuaAya sawa!!!
Raisi analipwa kidogo kuliko wakurugenzi wa mashirika ya umma sawaa!!
Ila katika kubana matumizi kama vipi adake milioni mbili tuπππ
Happy fools day
Unataka nini wweweAtaje na masurufu mengine, usikute allowance mil 30 mshara ndio M 9.5 hii Nchi hii, Ngoja tuone hii tamthiliya itaishia wapi.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]9500000 per year 114,000,000
9500000 per 5 years 570,000,000
9500000 per 10 years 1,140,000,000
HAPA KAZI TU.