Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apige ili iweje??Mbona siku hizi hapigi simu CLOUDS tena ?
Salary slip iko wapi?Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii
==========
Kutoka Gazeti la Mwananchi:
Hajatoka ChatoSalary slip iko wapi?
Hahahaahahaaaaaa!Salary slip mpaka leo haijatoka tu?
Hahaa ... Yule mzee ana PHD ya udanganyifu. Zaidi ya salamu yake ..haupaswi kuamini maneno mengine atakayo yaongeaSalary slip mpaka leo haijatoka tu?