Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Wapiga kura= million 29

Kura za mkulu= 25 million

Kura miliomi 4= wapinzani watagawana
 
Kuna watu sita (6) ambao Mheshimiwa anapaswa kuwaomba kwa njia ya kipekee wamsaidie katika kampeni zake za uchaguzi mwaka huu;
1. Mzee Kikwete
2. Kamarade Kinana
3. Mzee Warioba
4. Mzee Butiku
5. Mzee Msekwa
6. Mzee Makamba

Hii ndiyo think tank ya CCM, kwa kuzidi kujimwambafai kwake, na kuwaweka kando wazee hawa, kura zake zinakwenda kuwagawanyika na za Membe.
Hii ni ccm mpya, hatutaki kuwatumia tena hao wazee, Musiba Polepole na Bashiru wanatosha
 
Magufuli hata asipopiga kampeni atashinda tu.
 
Halafu chadema mlivyo na roho mbaya kwenye kampeni zenu mnawaptishia bakuri hao maskini,hivi mkoje nyie wakora msio na huruma hata chembe?


Wewe unadhani chadema ni majizi kama CCM kwenda kuiba hazina pesa ya haohao walalahoi (wanyonge) na kufanyia kampeni??!!.--- Zingine kwenda kujengea Airport Chattle na Zingine kugawa hovyo barabarani na zingine kununua kuku mmoja kwa shs 100,000/-,🤣, huo ni ufujaji wa ela ya wanyonge kwa mtu aliyekabidhiwa dhamana ya kutunza ela yao, tena ela yenyewe akiitoa haitozwi VAT.

Chadema inachukua nguvu ya walalahoi kwa hiyari yao kwenda kuwang'oa majizi ili uhuru na kazi vipatikane na sio hapa kazi tu na masimango bila haki na uhuru.
 
Kitengo ambacho kilimpa ushauri potofu wa kukubalika kwake, kilijua ndiyo njia pekee ya anguko lake. Kusini yupo Membe, Kaskazini na Magharibi yupo Lissu, Mashariki yupo Maalim Seif. Amekamatika kila kona na ACT Wazalendo na CDM ndiyo pekee wenye kete ya ushindi. Hii ndiyo hasa ya kuishi kwa mazoea na kukosa ubunifu.
 
Kinana, Kikwete na makamba utawaona jukwaani soon...

Wanaingia dakika za mwisho kusafisha uchafu.....
Kuna watu sita (6) ambao Mheshimiwa anapaswa kuwaomba kwa njia ya kipekee wamsaidie katika kampeni zake za uchaguzi mwaka huu;
1. Mzee Kikwete
2. Kamarade Kinana
3. Mzee Warioba
4. Mzee Butiku
5. Mzee Msekwa
6. Mzee Makamba

Hii ndiyo think tank ya CCM, kwa kuzidi kujimwambafai kwake, na kuwaweka kando wazee hawa, kura zake zinakwenda kuwagawanyika na za Membe.
 
Hana mpinzani,
Jemedari John Pombe Joseph Magufuri watanzania wazalendo wamemwelewa na atashinda kwa kishindo.[emoji1690][emoji1690][emoji1690]
 
magufuli hana hata aibu anataka kuendelea kuwa rais? he is a total failure and and an instigator of hate and divisions. kwa unafiki bila haya jana anasema anampenda Lissu mbona anatuona sisi wapumbavu sana?
Magufuli angekuwa anampenda Tundu Lissu angezuia pesa za matibabu ya Lisu ?
, aache unafki bwana.
 
Anachotaka JPM ni ushindi wa zaidi ya 95% ya ushindi wa kura zote.kuhusu kishinda kesha shinda ila dhamira ni hiyo zaidi ya 95%.
 
Kikwete hawezi kukubali kumsaidia, kwani umesahau jinsi serikali (utawala wake) ulivyokuwa ukishambuliwa na huyo Muheshimiwa???!!
Magufuli kila akisimama kwenye majukwaa ya kisiasa alikuwa lazima aukandie utawala wa baba yetu mtukufu Daktari Jakaya Mrisho Kikwete utafikiri hakuwahi kwenye cabinet ya Jk, zee ni linafki la kutupwa.
 
JK Mwenyewe hata Juzi pale Taifa kwenye hakuwela hata neno la kumsifia Rais hata kwa uwepo wa Àmani na kutokuwa na hofu ya korona mpaka uwanja umejaa na umewapa mapato Yanga.
Mwache jk apumzike mlinanga sana
 
Halafu chadema mlivyo na roho mbaya kwenye kampeni zenu mnawaptishia bakuri hao maskini,hivi mkoje nyie wakora msio na huruma hata chembe?
Hiyo ni research,kuona Hali ya kifedga ilivyo na ccm muone Hali halisi ya watanzania
 
Magufuli alishindwa kumpa hata Sumaye, waziri mkuu wa Mkapa kwa miaka 10 slot ya kutoa neno kwenye ratiba ya wazungumzaji kwenye Msiba wa Mkapa ndo atampa JK nafasi ya kumpigia kampeni?

Achievement za Mkapa alikuwepo Sumaye kama waziri mkuu lakini walimuignore, very unfair

That was very unfair ...na ubaguzi uliopitiliza

Anyway uchaguzi wa mwaka huu ana kiburi cha kuiba kura ...yeye ndiye anaamua nani ashinde leo pale singida kwa waliogundua akasema yeye ndiye kaamua Mwigulu abaki singida na Kitila aende Ubungo ....just imagine in a democratic process mtu anawaamulia wananchi tayari

Hicho ndio kiburi kinafanya adharau watu anaongea mwenyewe

LAKINI kingine amekwapua sana pesa na kupeleka kwenye chama na watu wake ...mwaka huu ni zaidi ya EPA .....na beneficiaries ni ndugu zake ...mdogo wake ndiye anakaa na pesa za kampeni sio chama ...anajifanya hajachangisha kumbe ni pesa anaagiza taasisi za umma zimpe na hazina

JKT na MAGEREZA wanatakiwa kutumikia mikutano yake ....na sio UVCCM .

Polisi nchi nzima wanaratibu makundi ya mgambo na vijana waliokosa ajira JKT kusaidia iwapo patatokea vurugu ....za kupinga matokeo
Kwenye jiji la dar barabara kubwa kubwa mtaona kuna vijana wafagizi wa JKT hao wamewekwa kwa ajili ya kudhibiti hali ikitokea kuna vurugu za kulazimisha ushindi..

Gwajima anaratibu kikundi cha kikabila "mgambo maalum-sungusungu" wa kusaidia iwapo patakuwa na vurugu



H
 
Huoni hiyo team imegawa Chama mana imekaa kikanda ziwa?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ccm Zanzibar inatia huruma .
Mgombea Urais Wanapewa
Wabunge wanapewa
Hata wawakilishi wanapewa kutoka Dodoma.

Tukumbuke ASP+TANU =CCM
Lakini Zanzibar hawezi kutoa M/Kiti wala SG

Kuna Makamu Wenyeviti 2

Akifa M/Kiti wao wa taifa anachukua nafasia Makamu wa Bara Ccm
Kwa ufupi Ccm Zanzibar Kama Tawi la Ccm Mtwara.

Wanzazibar hamkeni.
 
Back
Top Bottom