Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 27
- 76
Kwa bwanayule it doesn't concern!Nafasi ya Waziri Mkuu kikatiba ana takiwa awe mbunge wa jimbo. Ila Majaliwa ni mbunge wa viti maalum. Hapo imekaaje?
Wasipoenda utasikia mkisema wastaafu wamesusa.Huwa ninacheka kwa nguvu nikisikia kuwa serikali hii inabana matumizi, unakuta shughuli ya kuapishwa kama hiyo wanakwenda mpaka mawaziri wakuu wastaafu mfano Melecela, Lowasa nk. Hao wote wanalipwa kuhudhuria hiyo hafla, ni kipi cha maana wao wanaenda kukifanya?
Waziri Mkuu atatoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa toka majimboni. Huyu hajachaguliwa.Kwa mara ya kwanza tunaenda kuongozwa na waziri mkuu ambaye hakupigiwa kura na wananchi
Katiba ina maana tena huko Tanzania?Soma Katiba
NilikumissNdugu nilimwita Mungu wa miungu kuwa ni KAYAFA nikala ban
WondersHaya makofi ni ya nini sasa?Unapigia makofi uchafuzi?
Wasipoenda utasikia mkisema wastaafu wamesusa.
Yawezekana hata kadi ya kupiga kura huna ndo maana una vikelele visivyo na athari zozoteHainihusu. Uchafuzi tumeuona ila uchaguzi bado haujafanyika.
Kwani si hata Pinda mwaka 2010 alipita bila kupingwa? Au mimi nimepoteza kumbukumbu?Kwa mara ya kwanza tunaenda kuongozwa na waziri mkuu ambaye hakupigiwa kura na wananchi