mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa hiyo atampindua Magufuli?
Huenda Majaliwa akawa ndie ajae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda Majaliwa akawa ndie ajae
ULITAKA UKAMPIGIE WEWE KURA au wawakilishi wako huwaaminiKwa mara ya kwanza tunaenda kuongozwa na waziri mkuu ambaye hakupigiwa kura na wananchi
Wacha we! Ya kweli haya ndugu?Kabudi kasema Mheshimiwa Mungu😁😁😁,akimaanisha mhemshimiwa Rais!
Kujipendekeza kukizidi unaweza kukufuru hivi hivi!
Yaani Kabudi anamuabudu Magufuli.
Kupiga makofi kwenye sherehe mbalimbaliHivi PM kwa sasa hivi amebakishiwa majukumu yapi?
Wote yeye na bosi wake ni kitu kimojaKabudi ni mtu wa kusujudia wenye mamlaka toka zamani. Na sasa hivi ndio kabisa maana amemkuta anayependa kusujudiwa kiwaziwazi. Ukitaka kujua anajipendekeza kwake, angalia Magufuli akiongea utani, utamuona anachejikesha kwa nguvu, na anajitahidi kucheka Magufuli amuone anavyocheka! Ingekuwa ni baba yangu ningemwambia dingi unazingua.
Hizo kauli hazina shida yoyote kwa mtu anayejitambua na anayejua vema matumizi ya tamathali za semi. Ni wendawazimu kuendelea kubeza matumizi ya neno jalalani kutoka kwa mh. Kabudi kwani ni yeye anayejua kuwa alitolewa jalalani ama la.Amerudia zile kauli zake za "Mimi ni nani mpaka nipewe cheo,umenitoa jalalani,umenitoa mavumbini"
Hizo kauli hazina shida yoyote kwa mtu anayejitambua na anayejua vema matumizi ya tamathali za semi. Ni wendawazimu kuendelea kubeza matumizi ya neno jalalani kutoka kwa mh. Kabudi kwani ni yeye anayejua kuwa alitolewa jalalani ama la..
Ni kwa vile humu vijana ni wengi. Tangu baada ya uchaguzi wa vyama vingi mawaziri wakuu wote walipita bila kupingwa.Kwani si hata Pinda mwaka 2010 alipita bila kupingwa? Au mimi nimepoteza kumbukumbu?
Nakumbuka mwaka huo CCM kulikuwa na wabunge 42 waliopita bila kupingwa akiwemo Pinda, Makinda na Magufuli.
Kuzindua vyoo vya majengo. Maana mpaka majengo anazindua mkulu mwenyewe.Hivi PM kwa sasa hivi amebakishiwa majukumu yapi?
Mkuu hapo sijazungumzia habari ya kumtukuza. Nimezungumzia habari ya kumshukuru kwa "kumtoa jalalani". Kwa kifupi nililenga kujadili hiyo kauli ya jalalani na namna inavyopotoshwa kwa makusudi.Sasa kuna sababu gani ya kutumia maneno ya biblia yanayomtukuza Mungu kumtukuza Magu?
Kweli kabisa ila alirekebisha kauli😁😁😁Wacha we! Ya kweli haya ndugu?
Ila hii nchi. Sasa Masanja wa nini hapo. Kazi kupoteza muda bureee.