Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

Yaani uwe na UMRI zaidi yangu kipindi ninamaliza halafu utegemee UTAKUWA ni RAIS!

HAIWEZEKANI huo ndio Ukweli.

Mh.Rais JPM

Wanaosema labda Prof.Kabudi.
Wanaosema labda Mh. PM

WAUJUE UKWELI huo wa mwenyekiti wetu JPM!!

MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Huyu mzee ameanza majivuno na kiburi cha madaraka amesahau juzi tu alipiga magoti akiamba miaka mitano mingine.
 
Huenda leo kwa wale wenye 'Viherehere' hasa nyie 'Washehereshaji' wa 'Wanasiasa' itakuwa ni mara yenu ya mwisho kupenda Kukilazimisha 'Chuma' Kuongea kila wakati wa 'Tukio' wakati Yeye anakuwa 'hajajiandaa' kufanya hivyo.

Hotuba yake ya dakika 35 tu isiyo na 'Unafiki' huku akinyoosha 'Maelezo' yake imetufanya tuliojaa 'Ukumbini' ukweli wake Kwetu uanze 'Kutuuma' sasa.
 
Nilikuwa hapa Singida nikielekea Mwanza. Niliamua kusimama kwa muda mchache kufuatilia hotuba ya Rais Magufuli baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Katika maneno mengi aliyozungumza, nimebeba yafuatayo:

1. Huu sio wakati wa kula raha.

2. Huu ni wakati wa kazi.

3.Huu ni wakati wa kujenga mahusiano zaidi na Mataifa ya nje.

4. Huu ni wakati wa kukusanya mapato ya nchi.

5. Kuna uwezekano baraza la Mawaziri la sasa kuwa dogo sana.

6. Kuna uwezekano Baraza la Mawaziri likaibuka Januari 2021.
 
Nilikuwa hapa Singida nikielekea Mwanza. Niliamua kusimama kwa muda mchache kufuatilia hotuba ya Rais Magufuli baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Katika maneno mengi aliyozungumza, nimebeba yafuatayo:
Hakika watanzania huu ni wakati wa kukaza mkanda hali ni tete.
 
Kheri ya Urais kwani unaweza kukaa kwa muda unaoutaka wewe mradi magari ya delaya yapo.
 
Back
Top Bottom