Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwahiyo wewe unaona Mbowe ndo mbunge wa Ruangwa?Nafasi ya Waziri Mkuu kikatiba ana takiwa awe mbunge wa jimbo. Ila Majaliwa ni mbunge wa viti maalum. Hapo imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe unaona Mbowe ndo mbunge wa Ruangwa?Nafasi ya Waziri Mkuu kikatiba ana takiwa awe mbunge wa jimbo. Ila Majaliwa ni mbunge wa viti maalum. Hapo imekaaje?
Ngono addictive!Dishi limeyumba 😀
ramliHii ni personal view au maoni binafsi kuwa viongozi walio baki kama ma DC, RC, RCO RAS na wengine kama waziri mkuu watakuwepo kwa muda flan na muda wowote wanaweza wakatenguliwa sababu naijua mwenyewe maana nikiiweka wazi hapa JF watafuta huu uzi. tuishie hapo nhayo ni mawazo yangu binafsi tu
Kwahiyo wewe unaona Mbowe ndo mbunge wa Ruangwa?
Kwa hiyo unakubaliana na hii ramli, ukitaka ujue sababu njoo pmramli
Sasa mbona anacompromise mahakama. Mpuuzi mkubwa kabisa, perfect unmion utaipata kwa kuwalea madikiteita na hukumu hovyo kwahi kutokea...nyamaza kabisaJAJI MKUU(Ibrahim Juma): Kwanza nawapongeza kwa kupata madaraka na mamlaka kutoka kwa wananchi, pili kupata Imani ya mheshimiwa Rais kuwapa wadhifa na madaraka ya kuwa mawaziri...
Hizi ni speculations...... hata nikija pm, bado you will be speculatingKwa hiyo unakubaliana na hii ramli, ukitaka ujue sababu njoo pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16]Kabudi ni mtu wa kusujudia wenye mamlaka toka zamani. Na sasa hivi ndio kabisa maana amemkuta anayependa kusujudiwa kiwaziwazi. Ukitaka kujua anajipendekeza kwake, angalia Magufuli akiongea utani, utamuona anachejikesha kwa nguvu, na anajitahidi kucheka Magufuli amuone anavyocheka! Ingekuwa ni baba yangu ningemwambia dingi unazingua.
Naona umeunganishwa,,,, ndilo tatizo la JFKwa hiyo unakubaliana na hii ramli, ukitaka ujue sababu njoo pm
Duuhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]View attachment 1627594
“Mpango umesema Mkeo anakupa raha, mwaka huu hakuna cha raha sana, Waziri Mkuu umesema unampa raha Mkeo mwaka huu hakuna raha, kwasababu hata Mimi sipati raha sana kwa Mke wangu, mlikuwa mnamuona Makamu wa Rais anazunguka kila siku unafikiri alikuwa anapata raha kwa Mume wake?, ni kuchapa kazi, lazima tuteseke Wananchi wapate raha”-JPM Ikulu ya Chamwino Dodoma leo.
Sisi tuliona anatosha tukampa tano tena! Wewe pia ungeweza kugombea naye, katiba inakuruhusu mbona hukufanya hivyo?!Bado najiuliza kwanini PM alipita bila kupigwa ubunge!? Kwanini wapinzani wake walitekwa!? Kama ni kosa kugombea na mwenye maamlaka kwanini mbinu za uungwana zisitumike kama kubadili katiba kuondoa dhuluma ya kikatiba?