Me Ke?Hata mwaka 2015, mlisema hivyo hivyo hamumtambui Mh. JPM kama rais wa JMT lakini akapiga kazi mpaka leo kimewashuka shuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me Ke?Hata mwaka 2015, mlisema hivyo hivyo hamumtambui Mh. JPM kama rais wa JMT lakini akapiga kazi mpaka leo kimewashuka shuuuuu
Baba yako kafikia cheo gani kikubwa hapa Tanzania?Kabudi ni mtu wa kusujudia wenye mamlaka toka zamani. Na sasa hivi ndio kabisa maana amemkuta anayependa kusujudiwa kiwaziwazi. Ukitaka kujua anajipendekeza kwake, angalia Magufuli akiongea utani, utamuona anachejikesha kwa nguvu, na anajitahidi kucheka Magufuli amuone anavyocheka! Ingekuwa ni baba yangu ningemwambia dingi unazingua.
Hahah bwn yule tangu 2017 mpk leo na milele sitamuamini chochote kile atakacho kisema iwe ni story za kubana matumizi au la.Huwa ninacheka kwa nguvu nikisikia kuwa serikali hii inabana matumizi, unakuta shughuli ya kuapishwa kama hiyo wanakwenda mpaka mawaziri wakuu wastaafu mfano Melecela, Lowasa nk. Hao wote wanalipwa kuhudhuria hiyo hafla, ni kipi cha maana wao wanaenda kukifanya?
Unadhani ni kweli Profesa Kabudi amewahi kuishi Jalalani? Hizi tungo Tata tuwaachie waliosoma Ligha.Rushwa na ahadi za vyeo.
Hakuna kingine. Tatizo bado hatujawa na tume huru na katiba inayompunguzia mungu wa wapenda vyeo madaraka makubwa...
Wapinzani walichelewesha sana maendeleo,nasema uongo ndg zanguuuuuu?Ilaniya chama ina kurasa 308, Kuna sehemu inasema mtajenga kwa kiwango Cha lami kutoka mererani - simanjiro - dodoma 2. Geita mjini - kahama 3. Sanya juu - longido. 4. Shinyanga - mwanza 5. Geita - nzera( geita vijijini). Tunaomba mtuambie utekelezaji wake unaanza lini , wabunge tumeshawapatia na kura tuliwapa na mlihaidi kutekeleza. Hatutaki siasa tunataka matendo sasa
Alikuwa waziri serikali ya Mkapa.Baba yako kafikia cheo gani kikubwa hapa Tanzania?
Miradi gani hiyo unaisema? Nikimuona mwalimu wa chuo anafuga kuku, ana daladala, ana bar huyo ni bwege tu! Profesa kama Kabudi alistahili awe na kitabu ambacho ni best seller, awe ni board member wa international community fulani, awe ktk research kubwa ya Afrika kuhusu tawala zetu, nk. hizo zote zimlipe kiasi cha kukataa kuwa waziri mwizi-mwizi wa pesa za wizara.Ila kweli Ualimu wa chuo kama hauna vimiradi na unategemea mshahara tu ,ni umaskini kabisa.
Vitabu nani watasoma?Watanzania sio wasomaji.Miradi gani hiyo unaisema? Nikimuona mwalimu wa chuo anafuga kuku, ana daladala, ana bar huyo ni bwege tu! Profesa kama Kabudi alistahili awe na kitabu ambacho ni best seller, awe ni board member wa international community fulani, awe ktk research kubwa ya Afrika kuhusu tawala zetu, nk. hizo zote zimlipe kiasi cha kukataa kuwa waziri mwizi-mwizi wa pesa za wizara.
Ikishakuwa ni best seller, wasomaji ni Afrika/dunia nzima! Possibly kiwe cha sheria na TZ wanasheria ni wangapi?Vitabu nani watasoma?Watanzania sio wasomaji.
😂😂Kutembea na mikasi kwenye uzinduzi!
Huyu baba amepitia mateso makubwa sana ya kisaikolojia.The first ceremonial PM in Tanzania. Anafokewa kama mtoto. Utasikia "na wewe hebu maliza hiyo hotuba yako, vinginevyo nitakukatisha"
Au "nilikuwa nakisubiri na wewe uungane nao, ningewafuta wabunge wote wa Kusini"
Au "ningewapiga mashangazi zako".
Hivi PM unatukanwa on camera halafu upo tu?
Chuma Hicho ~~~~😆😅😄😃😂😁😀Huyu baba amepitia mateso makubwa sana ya kisaikolojia.
Sijui akijifungia chumbani kwake huwa anawaza yepi!