Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

Rais Magufuli leo, akiongea baada ya Waziri Mpango kusema mke wake anampa raha, mvua zikaanza kunyesha!!

Magufuli amesema katika utawala wake viongozi hawatakiwi kupewa raha na wake zao.
Wanaotakiwa kuwa na raha ni wananchi.
Magufuli amesema Majaliwa hapati raha kwa mke wake.
Makamu wa Rais hapati raha kwa mume wake.
Yeye mwenyewe hapati raha kwa mke wake.....!

Duuuuh..............!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hii ni personal view au maoni binafsi kuwa viongozi walio baki kama ma DC, RC, RCO RAS na wengine kama waziri mkuu watakuwepo kwa muda flan na muda wowote wanaweza wakatenguliwa sababu naijua mwenyewe maana nikiiweka wazi hapa JF watafuta huu uzi. tuishie hapo nhayo ni mawazo yangu binafsi tu
 
ramli
 
JAJI MKUU(Ibrahim Juma): Kwanza nawapongeza kwa kupata madaraka na mamlaka kutoka kwa wananchi, pili kupata Imani ya mheshimiwa Rais kuwapa wadhifa na madaraka ya kuwa mawaziri...
Sasa mbona anacompromise mahakama. Mpuuzi mkubwa kabisa, perfect unmion utaipata kwa kuwalea madikiteita na hukumu hovyo kwahi kutokea...nyamaza kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
JPM: "Bila wajibu; Haki, uhuru, na demokrasia hakuna. Najua mmenielewa". Kauli hii inafikirisha sana.
 
Duuhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Raha kama raha
 
Bado najiuliza kwanini PM alipita bila kupigwa ubunge!? Kwanini wapinzani wake walitekwa!? Kama ni kosa kugombea na mwenye maamlaka kwanini mbinu za uungwana zisitumike kama kubadili katiba kuondoa dhuluma ya kikatiba?
Sisi tuliona anatosha tukampa tano tena! Wewe pia ungeweza kugombea naye, katiba inakuruhusu mbona hukufanya hivyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…